Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Mimi sio MTU mashuhuri nawezaje kuita media?
Inategemea na nini unachotaka kukiongea kama ni habari utasikilizwa. Wanahabari kazi yao ni kuuza habari kwa hiyo kama habari yako inauza watakusikiliza
 
Kwa nini unajiita funzadume?
Elimu yako...
Chama chako cha siasa ni kipi?
Timu zako unazoshabikia ni zipi
Funzadume ni jina nilijipa na ninaitwa Funzadume mwana wa Washawasha. Nilijiita hivyo baada ya mzee wangu kujipa aka ya washawasha ndio mie ili kwenda nae sawa nikajiita funzadume

Mie sijihusishi na siasa kabisa
Shabiki wa Arsenal na Simba
 
Kwanini unapenda kufumua marinda ya watoto wa wenzako?
Ushawahi kudate mademu wangapi JF? Nitajie wawili
Mara ya mwisho kutumia kondom ilikuwa lini?
Hapa JF unamzimikia demu yupi?
Nini kilisababisha ukapata F ya hesabu O level?
Kwahiyo unapenda kuwa maskini?
Ulishawahi kudate na house girl?
Ushawahi kusalitiwa na demu wako?
Uliacha kukojoa kitandani ukiwa na umri gani?
Ukishawahi kunyonya papuchi ya mpenzi wako?
Ukidedi unapenda tukukumbuke kwa lipi?
Babu ebu pumua kwanza, uko resi sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maswali hayajibiwi. Ngoja niendelee kugonga K Vant
Bili nisogezee hapa mjukuu wako
 
Back
Top Bottom