Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Habari za Mwaka Mpya.
Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao.
NAKUSHAURI; kabla hujafurahia mwanao kuleta "A" kwenye masomo yake, Hakikisha anaweza kumudu lugha ya malkia vema
"Uwezo wa kuongea English kamili,ni mtaji tosha kuliko "A" ya Physics Advance School" kwa nchi zetu hizi unatakiwa uwe (C student au B-plain student) mwenye uwezo wa (C-1 and C-2 proficient English User) utapiga pesa za mabeberu hadi uchoke.
Simaanishi kupata pesa za wazungu maana yangu una urahisi sana wakuingia sehemu yoyote, kuhudhuria makongamano makubwa maana wengi wanayakimbia, etc etc
ENGLISH NI KILA KITU
L
Mwenye masikio na Asikie