Leo napewa connection ya kutoboa maisha

Leo napewa connection ya kutoboa maisha

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Mjomba wangu ambae amesoma mpaka darasa la nne huko mkoani Tabora mwenye akaja Dar es Salaaam kama bodaboda ila mpaka Leo ana

Mwenye V8 3
Toyota Hilux 3
Harrier 2
Alteza 1

Scania za mchanga 56
Costa za abiria 25
Nyumba 16 Dar es Salaam
Nyumba 7 Tabora
Hotel moja Arusha.

Zaidi ya hekari 600 Dodoma, Mbeya, Morogoro na Kigoma

Mwenye mama na watoto
Mwenye kila aina ya nguo.

Ila aliwahi kuniambia nisihofie kupoteza maisha kwani Kuna maisha mengine matamu zaidi haya ya duniani.

Amesema Leo ananipa namba ya simu ya Mzee Kalebonesha kutoka Tanga..
So Mzee Huyu atanipokea kama mwanae.

Haya Naomba chawa.
Naomba viherehere naenda kutoboa

Matusi ruksa Mungu yupo!!! Swali ulimuona wapi???

Uchawi upo nimeona mafaniko ya ndugu yangu kupitia uchawi...

Endelea kuishi kwa lugha ya kufikirika
 
1000123437.jpg
 
kuna jamaa angu kauza duka lake na vitu kibao vya ndani kwaajili ya hayo mambo na bado kaambulia patupu, kaamua kumrudia Mungu tu
 
Tatizo ni moja tu umetoa siri.
Wanasema usitangaze mipango yako kabla hujafanikiwa.
Kuna walozi tutakuloga usifanikiwe au hata mjomba ahairishe kukupa hiyo siri.
 
Tatizo ni moja tu umetoa siri.
Wanasema usitangaze mipango yako kabla hujafanikiwa.
Kuna walozi tutakuloga usifanikiwe au hata mjomba ahairishe kukupa hiyo siri.
Nakujibu subiri kidgo mjomba anapiga
 
Tatizo ni moja tu umetoa siri.
Wanasema usitangaze mipango yako kabla hujafanikiwa.
Kuna walozi tutakuloga usifanikiwe au hata mjomba ahairishe kukupa hiyo siri.
Utamloga aendaye kwa waganga
 
Back
Top Bottom