Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Huyu kiumbe anataka kujipa uspecial ambao hana,nadhan umemuuliza swali dogo tu kama hii mikataba ni feki alete OG anaanza kurukaruka
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikuwa hajakutana nacho..

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
 
Naona anaugulia maumivu huko alipo
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikiwa hajakutana nacho.

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
 
Me ali mradi wasishindwe kumlipa Sakho na Chama mshahara, hayo mengine ni kama namsikiliza MC kwenye harusi nikisubiri Vinywaji na Buffet.
 
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?...
Na mimi nilipigwa na butwaa mkataba unatambulishwa kwenye jezi iliyoandikwa b.26? Hapo hapo nilijua usanii tiyali umefanyika, lakini uhalisia uko kwenye makaratasi waliyosaini ni ujinga wa hali ya juu kutafuta kiki za kipuuzi
 
Umasikini wako wa kukosa hela chai asubuhi usiufanye fact kwenye kupinga naendelea ya wengine
 
Mkuu mwana Simba SC Mwenzangu kwa Unyenyekevu kabisa nakuuliza tena hivi zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji ameziweka katika Akaunti gani na ipi?
 
Ndio tushaingia mkataba nao sasa, no way kuwakwepa... as long as hizo hela zinasaidia maendeleo ya klabu yetu
 
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikuwa hajakutana nacho..

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
Zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani na ipi mwana Simba SC Mwenzangu?
 
Mkuu mwana Simba SC Mwenzangu kwa Unyenyekevu kabisa nakuuliza tena hivi zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji ameziweka katika Akaunti gani na ipi?
Kweli leo nimeanza kuamini SAUT inatoa product nzuri

Unauliza maswali yenye msingi sana

Mo ni mjanja mjanja sana na muhuni tuu
 
Kweli leo nimeanza kuamini SAUT inatoa product nzuri

Unauliza maswali yenye msingi sana

Mo ni mjanja mjanja sana na muhuni tuu
Huwezi kusoma SAUT Mwanza usiwe Great and Critical Thinker ( Genius ) Mkuu.

Pongezi nyingi tu kwa SAUT Mwanza.
 
Hata Roman Abramovich hela aliyotumia kuinunua Chelsea ni ndogo kulinganisha na fedha ambayo Chelsea ilipata katika udhamini wa Yokohama Tyres

Mambo ya Biashara yaheshimiwe kidogo [emoji41]

Popoma ww
 
Kama nakuelewa vilee especially nikikumbuka mkataba wa team moja ulikua ktk jezi hvi imeandikwa bil 26(nilistuka kdg)lakini kama nakuelewa mzee wa makolo umeongea point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…