Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

GENTAMYCINE nimeshafananishwa na Kila Mtu ( Watu ) Maarufu hapa Jamiiforums ila Mimi siyo hao ( hawa ) Wote mnanifananisha nao na labda niweke tu wazi Kwenu kuwa Majina yangu Halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura na natokea Makabila ya Zanaki ( Mara Tanzania ), Tutsi ( Gisenyi Rwanda ) na Makuwa ( Mtwara Tanzania )
Makabila yote yamewahi kushika mamlaka yenye dhamana kubwa ya kuongoza Nchi..Urais. Hatari na Nusu.
 
Makabila yote yamewahi kushika mamlaka yenye dhamana kubwa ya kuongoza nchi..Urais.
Nashukuru kulitambua ( Kulijua ) hilo Mkuu na kama kuna Kitu GENTAMYCINE najivunia ni kujikuta nimebahatika kutokea katika Makabila Matatu ya Zanaki, Tutsi na Makuwa ambayo yote yametoa Marais kama Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere ( Tanzania ), Rais Paul Kagame ( Rwanda ) na Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ( Tanzania )

Na hata Mimi GENTAMYCINE kama Mbunye ambazo nazipenda hazitonipeleka Udongoni kwa 'Dally Kimoko Virus Guitar' basi nami pia naweza Kuwaongozeni Watanzania kwani nimetokea katika Makabila ambayo yanatoa Viongozi ( Watawala ) bora Afrika.
 
Back
Top Bottom