Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Makabila yote yamewahi kushika mamlaka yenye dhamana kubwa ya kuongoza Nchi..Urais. Hatari na Nusu.GENTAMYCINE nimeshafananishwa na Kila Mtu ( Watu ) Maarufu hapa Jamiiforums ila Mimi siyo hao ( hawa ) Wote mnanifananisha nao na labda niweke tu wazi Kwenu kuwa Majina yangu Halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura na natokea Makabila ya Zanaki ( Mara Tanzania ), Tutsi ( Gisenyi Rwanda ) na Makuwa ( Mtwara Tanzania )