Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Huyu kiumbe anataka kujipa uspecial ambao hana,nadhan umemuuliza swali dogo tu kama hii mikataba ni feki alete OG anaanza kurukaruka
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikuwa hajakutana nacho..

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
 
Naona anaugulia maumivu huko alipo
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikiwa hajakutana nacho.

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
 
Me ali mradi wasishindwe kumlipa Sakho na Chama mshahara, hayo mengine ni kama namsikiliza MC kwenye harusi nikisubiri Vinywaji na Buffet.
 
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?...
Na mimi nilipigwa na butwaa mkataba unatambulishwa kwenye jezi iliyoandikwa b.26? Hapo hapo nilijua usanii tiyali umefanyika, lakini uhalisia uko kwenye makaratasi waliyosaini ni ujinga wa hali ya juu kutafuta kiki za kipuuzi
 
Umasikini wako wa kukosa hela chai asubuhi usiufanye fact kwenye kupinga naendelea ya wengine
 
Ulitaka hiyo b. 20 iwekwe kwenye bonde lako ndio ujue ipo?

Umezoea kuwatisha watoto kwa hii mitusi yako wanakukimbia kumbe kichwani ni mweupe kabisa, huna kitu, empty set.

Umezoea ban tu, mi mwerevu zaidi yako kenge wewe, kawafungashe utopolo watakushangilia.
Mkuu mwana Simba SC Mwenzangu kwa Unyenyekevu kabisa nakuuliza tena hivi zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji ameziweka katika Akaunti gani na ipi?
 
Ndio tushaingia mkataba nao sasa, no way kuwakwepa... as long as hizo hela zinasaidia maendeleo ya klabu yetu
 
Amezoea akileta uongo wake huku hakuna wa kumuuliza maswali ya haja sasa anajiona fundi, kumbe alikuwa hajakutana nacho..

Hilo swali dogo la kwanza hajajibu, nikaona isiwe tabu, nikampa la pili, napo kimya...
Zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani na ipi mwana Simba SC Mwenzangu?
 
Mkuu mwana Simba SC Mwenzangu kwa Unyenyekevu kabisa nakuuliza tena hivi zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji ameziweka katika Akaunti gani na ipi?
Kweli leo nimeanza kuamini SAUT inatoa product nzuri

Unauliza maswali yenye msingi sana

Mo ni mjanja mjanja sana na muhuni tuu
 
Kweli leo nimeanza kuamini SAUT inatoa product nzuri

Unauliza maswali yenye msingi sana

Mo ni mjanja mjanja sana na muhuni tuu
Huwezi kusoma SAUT Mwanza usiwe Great and Critical Thinker ( Genius ) Mkuu.

Pongezi nyingi tu kwa SAUT Mwanza.
 
Hujajibu Swali huu Uzi ni wa Kuihusu Simba SC yako au ni Uzi Jumuishi wa Kuvisema hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Simba na Yanga?

Haya kwakuwa unataka Mimi na Wewe ( tena wana Simba SC ) tuzungumzie Simba SC yetu naomba Kukuuliza hivi zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti ipi na ya Benki gani?

Nasubiria Majibu yako tafadhali Oky?
Hata Roman Abramovich hela aliyotumia kuinunua Chelsea ni ndogo kulinganisha na fedha ambayo Chelsea ilipata katika udhamini wa Yokohama Tyres

Mambo ya Biashara yaheshimiwe kidogo [emoji41]

Popoma ww
 
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?

Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure yake na high level of Professionalism iliyonayo ( iliyopo ) ningeambiwa imedhaminiwa kwa Mabilioni hayo ningeamini upesi kwa 100%, ila siyo kwa Simba SC na Yanga SC.

Kwa mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa Umenidhamini kwa Tsh Bilioni 26,168,005,000/= halafu kila mwaka unanigawia Pesa Kimgawanyo usio sawa badala ya kunipa Tsh Bilioni 5,233,601,000/= ambayo ndiyo ninapaswa nipewe?

Mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa unanipa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu na kwamba kila mwaka utakuwa unanipa Tsh Bilioni 4 huku ukijua kuwa Timu yangu bado haina ( haijapata ) kivile Mafanikio ya Kimataifa ambayo yangesaidia Kuiongezea Thamani?

Nisizunguke sana na GENTAMYCINE sijazoea Unafiki ukweli ni kwamba hizi Sponsorship Deals zote ni za Kupikwa ili Kuwahadaa Mashabiki Wajinga ( Ngumbaru ) na Wapumbavu ( Popoma ) ambao Masikini ya Mungu Wengi Wao uwezo wao wa Kuchanganua Mambo ni Finyu ( Mdogo ) sana na Pole yao pia.

Najua kuna mtakaosema kuwa kama hii Mikataba waliyoingia hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Tanzania ni vya Magumashi ( Uwongo ) mbona TRA na Watu wa Gaming Board walikuwepo?

Ukweli ni kwamba kwa Watendaji dhaifu na wepesi Kuhongwa kutoka katika hizi Taasisi tajwa hapo juu sitoshangaa kusikia kuwa nao waliitwa Kwanza Maji Mafupi ( Chemba ) kisha Wakasukwa na Kusukika kwa Ahadi ya 10% ili tu Wauchune ( Wanyamaze ) wakati hivi Vilabu viwili vikicheza na Akili za Mashabiki wao ( zao )

Kuna Mtendaji wa Kampuni Moja iliyodhamini Moja ya Klabu hizi nimemuangalia alipokuwa akiwasilisha Details za Mkataba na Usoni mwake ameonekana kabisa Dhambi ya Uwongo inamsuta na anadanganya wazi wazi baada ya Kufuzu Maelekezo ya Kuwadanganya Mashabiki, Wapenzi na Wanachama.

Hakuna sijui wa B26.1 wala wa B12 Ok?
Kama nakuelewa vilee especially nikikumbuka mkataba wa team moja ulikua ktk jezi hvi imeandikwa bil 26(nilistuka kdg)lakini kama nakuelewa mzee wa makolo umeongea point
 
Back
Top Bottom