Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?

Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure yake na high level of Professionalism iliyonayo ( iliyopo ) ningeambiwa imedhaminiwa kwa Mabilioni hayo ningeamini upesi kwa 100%, ila siyo kwa Simba SC na Yanga SC.

Kwa mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa Umenidhamini kwa Tsh Bilioni 26,168,005,000/= halafu kila mwaka unanigawia Pesa Kimgawanyo usio sawa badala ya kunipa Tsh Bilioni 5,233,601,000/= ambayo ndiyo ninapaswa nipewe?

Mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa unanipa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu na kwamba kila mwaka utakuwa unanipa Tsh Bilioni 4 huku ukijua kuwa Timu yangu bado haina ( haijapata ) kivile Mafanikio ya Kimataifa ambayo yangesaidia Kuiongezea Thamani?

Nisizunguke sana na GENTAMYCINE sijazoea Unafiki ukweli ni kwamba hizi Sponsorship Deals zote ni za Kupikwa ili Kuwahadaa Mashabiki Wajinga ( Ngumbaru ) na Wapumbavu ( Popoma ) ambao Masikini ya Mungu Wengi Wao uwezo wao wa Kuchanganua Mambo ni Finyu ( Mdogo ) sana na Pole yao pia.

Najua kuna mtakaosema kuwa kama hii Mikataba waliyoingia hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Tanzania ni vya Magumashi ( Uwongo ) mbona TRA na Watu wa Gaming Board walikuwepo?

Ukweli ni kwamba kwa Watendaji dhaifu na wepesi Kuhongwa kutoka katika hizi Taasisi tajwa hapo juu sitoshangaa kusikia kuwa nao waliitwa Kwanza Maji Mafupi ( Chemba ) kisha Wakasukwa na Kusukika kwa Ahadi ya 10% ili tu Wauchune ( Wanyamaze ) wakati hivi Vilabu viwili vikicheza na Akili za Mashabiki wao ( zao )

Kuna Mtendaji wa Kampuni Moja iliyodhamini Moja ya Klabu hizi nimemuangalia alipokuwa akiwasilisha Details za Mkataba na Usoni mwake ameonekana kabisa Dhambi ya Uwongo inamsuta na anadanganya wazi wazi baada ya Kufuzu Maelekezo ya Kuwadanganya Mashabiki, Wapenzi na Wanachama.

Hakuna sijui wa B26.1 wala wa B12 Ok?
Aisee usipotafuta dawa ya kuhara tumbo litakusumbua sana
 
Sijui niwaite wajinga mara ngapi ili mjielewe kuwa nyie kweli ni wajinga.

Unaposema mkataba wa Simba SC ni feki, tuwekeeni huo original tuuone, mna upeo mdogo ndio maana mnamshangilia mjinga mwenzenu.
Wewe ita hata mara 100, lakini uthibitisho pekee wa mkataba ulionao mpaka sasa ni T-shirt iliyoandikwa 26.1b
 
Mimi nimewazungumzia Simba SC ninaowafahamu, hao wengine watajizungumzia wenyewe, sawa popoma?
Wewe siyo shabiki ni Mfuasi. Hii ni mada inayowahusu mashabiki wa soka siyo Wapenzi wafuasi Wafuata upepo ambao wakiwa Simba hawawezi kuona mabaya ya Simba, wakiwa Yanga hawawezi kuona mabaya ya Yanga.
 
Hujajibu Swali huu Uzi ni wa Kuihusu Simba SC yako au ni Uzi Jumuishi wa Kuvisema hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Simba na Yanga?

Haya kwakuwa unataka Mimi na Wewe ( tena wana Simba SC ) tuzungumzie Simba SC yetu naomba Kukuuliza hivi zile Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti ipi na ya Benki gani?

Nasubiria Majibu yako tafadhali Oky?
Amesema anaijua Simba, akikujibu bila tusi unitag.
 
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?

Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure yake na high level of Professionalism iliyonayo ( iliyopo ) ningeambiwa imedhaminiwa kwa Mabilioni hayo ningeamini upesi kwa 100%, ila siyo kwa Simba SC na Yanga SC.

Kwa mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa Umenidhamini kwa Tsh Bilioni 26,168,005,000/= halafu kila mwaka unanigawia Pesa Kimgawanyo usio sawa badala ya kunipa Tsh Bilioni 5,233,601,000/= ambayo ndiyo ninapaswa nipewe?

Mfano utaniambiaje GENTAMYCINE kuwa unanipa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu na kwamba kila mwaka utakuwa unanipa Tsh Bilioni 4 huku ukijua kuwa Timu yangu bado haina ( haijapata ) kivile Mafanikio ya Kimataifa ambayo yangesaidia Kuiongezea Thamani?

Nisizunguke sana na GENTAMYCINE sijazoea Unafiki ukweli ni kwamba hizi Sponsorship Deals zote ni za Kupikwa ili Kuwahadaa Mashabiki Wajinga ( Ngumbaru ) na Wapumbavu ( Popoma ) ambao Masikini ya Mungu Wengi Wao uwezo wao wa Kuchanganua Mambo ni Finyu ( Mdogo ) sana na Pole yao pia.

Najua kuna mtakaosema kuwa kama hii Mikataba waliyoingia hivi Vilabu Vikubwa Viwili vya Tanzania ni vya Magumashi ( Uwongo ) mbona TRA na Watu wa Gaming Board walikuwepo?

Ukweli ni kwamba kwa Watendaji dhaifu na wepesi Kuhongwa kutoka katika hizi Taasisi tajwa hapo juu sitoshangaa kusikia kuwa nao waliitwa Kwanza Maji Mafupi ( Chemba ) kisha Wakasukwa na Kusukika kwa Ahadi ya 10% ili tu Wauchune ( Wanyamaze ) wakati hivi Vilabu viwili vikicheza na Akili za Mashabiki wao ( zao )

Kuna Mtendaji wa Kampuni Moja iliyodhamini Moja ya Klabu hizi nimemuangalia alipokuwa akiwasilisha Details za Mkataba na Usoni mwake ameonekana kabisa Dhambi ya Uwongo inamsuta na anadanganya wazi wazi baada ya Kufuzu Maelekezo ya Kuwadanganya Mashabiki, Wapenzi na Wanachama.

Hakuna sijui wa B26.1 wala wa B12 Ok?

Unadhani wao ni wajinga watangaze hivyo halafu waje walipishwe kodi na TRA?
 
Labda haujui maana ya mkataba.
Ikitokea mmoja akavunja makubaliano ya mkataba mwenzake anaweza akaenda kumshtaki.
Sidhani kama viongozi wa Simba watakuwa wajinga kiasi hicho Cha kupewa chini ya KIWANGO Cha mkataba waliowekeana alafu wakakaa kimya.
Kama watakaa kimya utakuwa ni ujinga wao.
Sisi hatujui hizo hela hayo makampuni yatazitoa wapi Bali tunafuata mkataba UNASEMAJE
 
Kama nakuelewa vilee especially nikikumbuka mkataba wa team moja ulikua ktk jezi hvi imeandikwa bil 26(nilistuka kdg)lakini kama nakuelewa mzee wa makolo umeongea point
Uto kweli ni uto, kwamba picha ya ile karatasi aliyoshika Hersi ndio inathibitisha ni mkataba halisi? Kama ungefuata fact hakuna picha kutoka kwa simba au yanga inayothibitisha mkataba halisi ulivyo.
 
Amesema anaijua Simba, akikujibu bila tusi unitag.
Ewe mfuasi wa popoma, msaidie mume wako kujibu swali langu comment no. 27 nililotangulia kumuuliza mumeo, thn nitawapa maelezo mazuri kuhusu wapi zilipo b. 20.

Kama mmeshindwa kujibu mseme hapa ili uzi wenu ujulikane ni wa kijinga mapema, msipotezee werevu muda. Kama una ubavu, jibu hilo swali lililomshinda mumeo.

Tena wewe ndie popoma square unaetumia kigezo cha jezi kuandikwa thamani ya mkataba kama vile umeambiwa hiyo jezi ndio mkataba wenyewe, hata hujui hii dunia inaelekea wapi, unajua umbea tu, na akili ndogo.

NB.

Ujibu bila kuleta kisingizio cha kutukanwa, nimekuita mke wa popoma kwasababu una kiherehere kama wanawake kudandia hadi ujinga wa bwanako, sijakuonea dada.
 
Kumbuka mzee Rage aliwaambia nyinyi ni mbumbumbu kwenye mkutano mkuu wa wanachama na wanasimba wakapiga makofi, wa wa wa waa
Nanyi ( Yanga SC ) mkumbuke pia aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliwaambieni Yanga SC Wote ( ipo YouTube ) kuwa nyie ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
 
Wewe ita hata mara 100, lakini uthibitisho pekee wa mkataba ulionao mpaka sasa ni T-shirt iliyoandikwa 26.1b
Wewe Punguani wa Akili, kwahivyo haya makampuni yayoingia mikataba ya namna hii au kutangaza kwenye Jezi ni wajinga isipokuwa hakika ni kwenye karatasi tu..?

Vinginevyo nitaamini kuwa Utopolo ni chuo cha mafunza.
20220802_222346.jpg
20220802_222341.jpg
 
Nimeanzisha Uzi huu Kwa ajili ya Watu very Intelligent kama Wewe Kuujadili cha Kushangaza nao Umevamiwa na Wapumbavu na Wendawazimu wengi tu kama huyo Uliyemjibu na Wengine waliochangia na Watakaochangia kama Wao.

Na niweke tu Wazi kwa Wasionijua ( Wasiojua ) kuwa Mimi GENTAMYCINE ni Shabiki Kindakindaki ( Lia Lia ) kabisa WA Simba SC ila nina Udhaifu Mmoja Mkubwa wa kutokuwa Mnafiki, Muongo, Mpumbavu na Kupenda Kujipendekeza ( Kujikomba ) kwa Mtu ( Watu )

Namaliza kwa Kusema Mikataba yote ya Simba SC na Yanga SC hii ya sijui Tsh Bilioni 26.1 na Tsh Bilioni 12 yote ni ya Kimagumashi ( Uongo ) mtupu na Binafsi kwa ninavyozijua hizi Klabu Kubwa Mbili na Uswahili uliopo ni kwamba tumedanganywa Mchana Kweupe tu.

Sasa mzee wangu kwa hiyo TRA NAO NI MAGUMASHI???
 
Zile Tsh Billioni 20 za Mwekezaji Wetu Mo Dewji zipo katika Akaunti gani na ipi mwana Simba SC Mwenzangu?

Ahaaa mr kigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tushakujua sasa kaka HK eeeh tunaomba utusajilie hata mmoja basi...hata lobi basi mlete
 
Ahaaa mr kigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tushakujua sasa kaka HK eeeh tunaomba utusajilie hata mmoja basi...hata lobi basi mlete
GENTAMYCINE nimeshafananishwa na Kila Mtu ( Watu ) Maarufu hapa Jamiiforums, ila Mimi siyo hao ( hawa ) Wote mnanifananisha nao na labda niweke tu wazi Kwenu kuwa Majina yangu Halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura na natokea Makabila ya Zanaki ( Mara Tanzania ), Tutsi ( Gisenyi Rwanda ) na Makuwa ( Mtwara Tanzania )
 
Back
Top Bottom