Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia.

Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
Kwani To yeye anasemaje?
 
Malalamiko yao makubwa ni Hela .. Hivyo vengine wenyewe wanadai ni changamoto tu za wanaume na wenyew wanakwambia wanaume wote ni wale wale so hawana kwa kukimbilia but sio kwenye Pesa[emoji41]
Wanataka pesa ata akama hujui kutomber utapewa tuu mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…