Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Hivi vicoba balaaa wake wanashindwa kutoa mbususu yote kisa mrejesho jamani shetani kawashika pabaya hawa wake zetu.
Shetani alipoona wanawake hatuteseki ndo akatuletea vikoba🤣🤣🤣
Mbususu tunatoa, Ila sio juu kila siku🤣
 
Tena nyie lastborn ndo hata kufua hamjui, hivyo msipopelekwa puta mnazingua sana
Mimi kazi zote nafanya
Ila Kuna Ile tendency tu ya kudeka tunayo ambayo tunazaliwa nayo
Kila lastborn anayo.

Sasa mambo ya kupelekana kijeshi..tunapenda kubembelezwa[emoji23]
 
Mimi kazi zote nafanya
Ila Kuna Ile tendency tu ya kudeka tunayo ambayo tunazaliwa nayo
Kila lastborn anayo.

Sasa mambo ya kupelekana kijeshi..tunapenda kubembelezwa[emoji23]
Acheni kudeka bana mi sipendi mtu anayedeka
 
Back
Top Bottom