Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Mtoko sii unakuwa wakawaida sasa wee unaenda mtoto unafakamia savannah saba mara loh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mi mjanja sana,nikijua Nina kizinga kwanza nakula kabisa nyumbani nashiba ndii,ukianza oooh tuagize kitimoto nachomoa nakuwa nimeshiba,halafu nachagua wine isiyozidi 20...nakunywa mdogomdogo.....Ni kweli ukifakamia mi savannah na kula mi mikuku umebeba na shosti weee hupati mia🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mi mjanja sana,nikijua Nina kizinga kwanza nakula kabisa nyumbani nashiba ndio,ukianza oooh tuagize kitimoto nachomoa nakuwa nimeshiba,halafu nachagua wine isiyozidi 20...nakunywa mdogomdogo.....Ni kweli ukifakamia mi savannah na kula mi mikuku umebeba na shosti weee hupati mis🤣🤣
Sasa bora wewe una akili ipo mijanamke eti chakula chake tuu 50k
 
Asalaleeee! Hapa nimeona changamoto kubwa ni hela na style za kukamuana!

Ndugu mama zangu, dada zangu, wadogo zangu na wengine wote niwashukuru kwa uwasilishaji wenu, nitumie fursa hii kwa niaba ya Mwenyekiti wetu kuwahakikishia kua hela tutawapa na Kwa kuanza kila mmoja aache account number yake

Kuhus mikao wakati wa kufaidi uumbaji wa kitu kama kile Cha Tessy, Kwa kwel mtaendelea kukalia mpaka pale utakapofikisha miaka 50 Kwa sababu haiwezekani nitoe hela afu nihangaike kama karmakenge[emoji16] as long as umepokea hela lazima uelekee kibla, kwanza wanaume tukiwa juu tunawahi kukojoa ko muwe wavumilimu hasa kipindi hiki kigumu

Pia Mwenyekiti ameniagiza niwaambie kwamba jitahidi ule hela za anaekukula siyo kila ukiona kidume unaendekeza shida

Naomba kuwasilisha
Mpaji Mungu
Afisa masoko na mahusiano ya jamiii
Ujumbe huu Nimeipenda sana,na umesema Kwa niaba ya mwenyekiti [emoji23][emoji28]
 
Ujumbe huu Nimeipenda sana,na umesema Kwa niaba ya mwenyekiti [emoji23][emoji28]
Namshukuru ndugu mjumbe! Tuendelee kuhimizana wanachama waendelee kutoa ada pia wasikose mkutano mkuu wa mwaka!

Tunatarajia kumualika ndugu Achraf Hakimi kama mzungumzaji mkuu
 
Watu wamechachukaa ktk huu uzi, woiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inamaana kero za wanawake kwa wanaume ni kuhusu pesa na masuala ya kuliwa tu? Yaani namaanisha kwamba wanawake ikifika suala la kero za wanaume kwao ni masuala ya mizagamuo na ni lazima suala la pesa liingie?

Hii inanifanya nione kwamba kwa hali hii 90% wanauza
 
Back
Top Bottom