Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Mtoko sii unakuwa wakawaida sasa wee unaenda mtoto unafakamia savannah saba mara loh
🀣🀣🀣🀣🀣🀣We mi mjanja sana,nikijua Nina kizinga kwanza nakula kabisa nyumbani nashiba ndii,ukianza oooh tuagize kitimoto nachomoa nakuwa nimeshiba,halafu nachagua wine isiyozidi 20...nakunywa mdogomdogo.....Ni kweli ukifakamia mi savannah na kula mi mikuku umebeba na shosti weee hupati mia🀣🀣
 
Sasa bora wewe una akili ipo mijanamke eti chakula chake tuu 50k
 
Sasa bora wewe una akili ipo mijanamke eti chakula chake tuu 50k
Huyo ni slay queen!!!halafu anashikashika anaacha kwenye sahani mpaja wa kuku looohπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†....
 
Huyo ni slay queen!!!halafu anashikashika anaacha kwenye sahani mpaja wa kuku looohπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†....
Acha kabisa unasema huyu ajichanganye tuu anivulie kyupi aloooo ataisikia mboo kwa kooo
 
Ujumbe huu Nimeipenda sana,na umesema Kwa niaba ya mwenyekiti [emoji23][emoji28]
 
Ujumbe huu Nimeipenda sana,na umesema Kwa niaba ya mwenyekiti [emoji23][emoji28]
Namshukuru ndugu mjumbe! Tuendelee kuhimizana wanachama waendelee kutoa ada pia wasikose mkutano mkuu wa mwaka!

Tunatarajia kumualika ndugu Achraf Hakimi kama mzungumzaji mkuu
 
Watu wamechachukaa ktk huu uzi, woiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inamaana kero za wanawake kwa wanaume ni kuhusu pesa na masuala ya kuliwa tu? Yaani namaanisha kwamba wanawake ikifika suala la kero za wanaume kwao ni masuala ya mizagamuo na ni lazima suala la pesa liingie?

Hii inanifanya nione kwamba kwa hali hii 90% wanauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…