Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

Uchaw ni utapeli na haujawai kuexist.

Anyway ingekua ni mimi nisingemwaga mboga ningeutafutia ugali mwingi then nikimbize marathon

Anyway Vyovyote Chizi maarifa mwaga mboga mpaka warushe taulo
 
Unaweza kukuta mtoa mada ametoa utamu huko na ndo anataka kutupa expiriensi
 
Uchawi ni hadithi za kusadikika.

Walioleta dini za wakoloni ndio walioleta imani za uchawi pia.

Uhalisia haupo ni utapeli tu wa kiimani
 
Back
Top Bottom