Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

lakini hakulazimishwa.

yupo chini ya wazazi kwa maana gani wakati tunapaswa kukataa ndoa?
Niliwahi kuuliza humu yupo baba anayeruhusu mtoto wake wakike azalishwe na aje kutupiwa mzigo? Wanaume wote walikataa japo mtoto anaweza kufanya hivyo.

Swali, kama hakuna mwanaume anayekubali na wewe unasisitiza ndoa haipaswi. Huoni bado unajipinga mwenyewe?

Sijui kama umeelewa pointi hapo?
Nafikiri kwenye maana ya ndoa ndio tunapishana apo , inawezekana mimi nipo sahihi na wewe upo sahihi pia.
 
Asante mkuu, nilikuomba nijifunze kupita majibu yako.

Wazo kuu as Ex pastor, uliona nini mpaka ukaamua kuhama from Christianity mpaka uyahudi na wala sio uislam?
Kabla sijaingia uyahudi nilikuwa Muislamu kwanza nilidumu kwa Miaka 5 humo..
na Kwa sasa Sina upande wwote baada ya kugundua hizi ni biashara za watu tu..

Nakushauri soma tu jinsi Ukristo ulivyoanza soma jinsi Biblia ilivyopatika jifunze Bible Textual analysis utaelewa vingi bila kuambiwa na mtu..
It takes Time.. (Hata Roma haikujengwa kwa siku 3)
 
Asante sana mkuu kwa majibu yako. I appreciate for your time, See you around.
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Nataka maelezo kwamba Mungu yupo, yenye:-

1. Proof that is logically consistent.
2. Proof that is non contradictable.

Is that too much to ask for?
Katika lugha zote za Dunia Kuna Neno likitafsiriwa Lina maana ya Mungu:kwa maana Muumba wa mbingu na dunia

Kwa utashi wako unaona kama kabila zote duniani waliungana kubuni Hilo neno
 
Hii habari umeitoa wapi, katika maandiko yapi kwenye Biblia inayoeleza umri wa Mariam kuposwa na Yusuph katika umri huo?

Maana Biblia imeandikwa maneno yafuatayo ambapo ukiyasoma unaona Mariam hakuwa kashaguswa na mwanaume (alikuwa bikira), sasa je tangu akabidhiwe kwa Yusuph katika umri mdogo uliotaja ina maana hakuwa kapigwa mashine hadi anakutana na malaika akiwa mwanamke mtu mkubwa?

Luka 1
34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
Mwandishi wa biblia mwongo sana mengi alivutia kwa waliomtuma aandike
 
Kabla sijaingia uyahudi nilikuwa Muislamu kwanza nilidumu kwa Miaka 5 humo..
na Kwa sasa Sina upande wwote baada ya kugundua hizi ni biashara za watu tu..

Nakushauri soma tu jinsi Ukristo ulivyoanza soma jinsi Biblia ilivyopatika jifunze Bible Textual analysis utaelewa vingi bila kuambiwa na mtu..
It takes Time.. (Hata Roma haikujengwa kwa siku 3)
💯
 
Yap twende kazi mkuu🙇‍🙇‍
Ndoa ni muunganiko wa hiari kati mtu mume na mtu mke waliokubaliana kuwa pamoja katika maisha yao.
Kuishi na mwanamke kwa kipindi cha miaka miwili hiyo ni dhana ya ndoa(rebuttable resumption)

Kukataa ndoa ni kukataa muunganiko huo, si ndivyo?
Mtoto wako wakike anaweza kuolewa akiwa na miaka 15 kwa ruhusa ya wazazi. Na akaja kukwambia mimi nataka kuolewa.
Mtoto wako mwenye umri wa miaka 18 upo tayari kumuona akipata mimba na kuja kurushiwa mzigo uulee wewe? Jibu kama baba na usiweke ushabiki.
 
Katika lugha zote za Dunia Kuna Neno likitafsiriwa Lina maana ya Mungu:kwa maana Muumba wa mbingu na dunia

Kwa utashi wako unaona kama kabila zote duniani waliungana kubuni Hilo neno
Hapo unefanya logical fallacies hizi.

1. Argument from tradition. Yani umefanya kuwa kitu kikikubalika kiutamaduni, basi ni lazima kiwe sawa. Tumeona mambo mengi yalikubalika kiutamaduni zamani, lakini leo tumeyaona hayafai na tumeyaacha. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).

2. Argument from popularity. Yani kitu kikikubaliwa na wengi ni lazima kiwe kweli. Tumeona kuwa si lazima kinachokubaliwa na wengi kiwe kweli. Hoja hii ni potofu kimantiki (logical fallacy).

3. Argument from dictionary. Unachukua definition ya dictionary na kurahisisha hoja ngumu imalizwe kwa definition ya dictionary, wakati hata hilo neno Mungu hizo jamii nyingi ulizozitaja hazikubaliani Mungu huyo yukoje. Hii ni hoja potofu kimantiki (logical fallacy).
 
Historia ya kanisa bado huijui kuklux clan ni siasa
Unachanganya mada
Wakristo waliuliwa na makaizari kutaja kuifuta ukristo duniani
Walio fanya kazi hio ni kaizari:
Nero
Domitian
Pompe na wengine
Ni kaizari Cesare aliekomesha manyanyasho kwa wakristo
😀😀
Mkuu hizo historia za ma Emperor na Caesar nazijua..

Unazihamu Holy Christian Crusades ambazo Zilianza mwaka 1096 mpala 1291..

Nakushauri kabla ya Kucoments Uzipitie kwanza..
Na by The way "ku klux klan" ilijificha chini ya mwamvuli wa white supremacist lakini ilikuwa Chini ya Majesuits na Knight templar..
 
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
Nani kasema Yusuf alitenda dhambi kwa kumuoa Maria?
 
Mpaka sasa nalea watoto watatu ambao sio wangu , kulea mtoto wa mwanangu sio tatzo kabisa.

Note: ziwezi kamwe kuzuia matamanio ya mtoto kama anataka kuoa ni yeye na sio mimi .

Pia tunaposema kataa ndao pia sio sheria kila mtu akubaliane na sisi .
Kwa nini sikubaliane kukataa "pochi manyoya"!? Au mnakwepa majukumu kwenye ndoa lakini vipochi manyoya vyao mnapita navyo
 
Back
Top Bottom