Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Nafikiri kwenye maana ya ndoa ndio tunapishana apo , inawezekana mimi nipo sahihi na wewe upo sahihi pia.lakini hakulazimishwa.
yupo chini ya wazazi kwa maana gani wakati tunapaswa kukataa ndoa?
Niliwahi kuuliza humu yupo baba anayeruhusu mtoto wake wakike azalishwe na aje kutupiwa mzigo? Wanaume wote walikataa japo mtoto anaweza kufanya hivyo.
Swali, kama hakuna mwanaume anayekubali na wewe unasisitiza ndoa haipaswi. Huoni bado unajipinga mwenyewe?
Sijui kama umeelewa pointi hapo?
Kabla sijaingia uyahudi nilikuwa Muislamu kwanza nilidumu kwa Miaka 5 humo..Asante mkuu, nilikuomba nijifunze kupita majibu yako.
Wazo kuu as Ex pastor, uliona nini mpaka ukaamua kuhama from Christianity mpaka uyahudi na wala sio uislam?
Mkuu min,Nafikiri kwenye maana ya ndoa ndio tunapishana apo , inawezekana mimi nipo sahihi na wewe upo sahihi pia.
Asante sana mkuu kwa majibu yako. I appreciate for your time, See you around.Kabla sijaingia uyahudi nilikuwa Muislamu kwanza nilidumu kwa Miaka 5 humo..
na Kwa sasa Sina upande wwote baada ya kugundua hizi ni biashara za watu tu..
Nakushauri soma tu jinsi Ukristo ulivyoanza soma jinsi Biblia ilivyopatika jifunze Bible Textual analysis utaelewa vingi bila kuambiwa na mtu..
It takes Time.. (Hata Roma haikujengwa kwa siku 3)
Katika lugha zote za Dunia Kuna Neno likitafsiriwa Lina maana ya Mungu:kwa maana Muumba wa mbingu na duniaSitaki kuamini, nataka kujua.
Nataka maelezo kwamba Mungu yupo, yenye:-
1. Proof that is logically consistent.
2. Proof that is non contradictable.
Is that too much to ask for?
Mwandishi wa biblia mwongo sana mengi alivutia kwa waliomtuma aandikeHii habari umeitoa wapi, katika maandiko yapi kwenye Biblia inayoeleza umri wa Mariam kuposwa na Yusuph katika umri huo?
Maana Biblia imeandikwa maneno yafuatayo ambapo ukiyasoma unaona Mariam hakuwa kashaguswa na mwanaume (alikuwa bikira), sasa je tangu akabidhiwe kwa Yusuph katika umri mdogo uliotaja ina maana hakuwa kapigwa mashine hadi anakutana na malaika akiwa mwanamke mtu mkubwa?
Luka 1
34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
Yap twende kazi mkuuπβπβMkuu min,
Unataka tuendelee ili tuone ni wapi unajikanganya na kauli ya kukataa ndoa ilihali wewe mwenyew haupo tayari mtoto wako umkute katika umri huo wa miaka 15 katika mahusiano na mwanaume?
Mkuu cotterpin,Asante mkuu, nilikuomba nijifunze kupita majibu yako.
Wazo kuu as Ex pastor, uliona nini mpaka ukaamua kuhama from Christianity mpaka uyahudi na wala sio uislam?
π―Kabla sijaingia uyahudi nilikuwa Muislamu kwanza nilidumu kwa Miaka 5 humo..
na Kwa sasa Sina upande wwote baada ya kugundua hizi ni biashara za watu tu..
Nakushauri soma tu jinsi Ukristo ulivyoanza soma jinsi Biblia ilivyopatika jifunze Bible Textual analysis utaelewa vingi bila kuambiwa na mtu..
It takes Time.. (Hata Roma haikujengwa kwa siku 3)
Huo ni uwongoπKristo ulienea duniani bila vita, Sasa njoo kwa wenzetu hata walipo hawataki madini menginewameamrishwa kuwa hata watoto wao wakienda kinyume na dini yao
Alikuwa Mgane!!Alievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Ndoa ni muunganiko wa hiari kati mtu mume na mtu mke waliokubaliana kuwa pamoja katika maisha yao.Yap twende kazi mkuuπβπβ
Hapo unefanya logical fallacies hizi.Katika lugha zote za Dunia Kuna Neno likitafsiriwa Lina maana ya Mungu:kwa maana Muumba wa mbingu na dunia
Kwa utashi wako unaona kama kabila zote duniani waliungana kubuni Hilo neno
Huyo Dr ndie aliwahi kuwa pastor.Mkuu cotterpin,
Ni sijakuelewa mimi au? Ulishawahi kuwa pastor?
Hakika.Huyo Dr ndie aliwahi kuwa pastor.
ππHistoria ya kanisa bado huijui kuklux clan ni siasa
Unachanganya mada
Wakristo waliuliwa na makaizari kutaja kuifuta ukristo duniani
Walio fanya kazi hio ni kaizari:
Nero
Domitian
Pompe na wengine
Ni kaizari Cesare aliekomesha manyanyasho kwa wakristo
Nani kasema Yusuf alitenda dhambi kwa kumuoa Maria?NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,
YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
Kwa nini sikubaliane kukataa "pochi manyoya"!? Au mnakwepa majukumu kwenye ndoa lakini vipochi manyoya vyao mnapita navyoMpaka sasa nalea watoto watatu ambao sio wangu , kulea mtoto wa mwanangu sio tatzo kabisa.
Note: ziwezi kamwe kuzuia matamanio ya mtoto kama anataka kuoa ni yeye na sio mimi .
Pia tunaposema kataa ndao pia sio sheria kila mtu akubaliane na sisi .