Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Mkuu unamwambia asikariri vitabu. Wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi!? Je umesoa article mbali mbali au umeoteshwa? Kama umesoa article mbali mbali ndicho hata yeye aliomba reference ili ajisomee mwenye. Unless uwe unaoteshwa
 
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu?
Scientifically speaking huwez ku-prove kuwa mungu yupo, but also Scientifically speaking, the complexity and proximity of this universe suggests there must be a Grand creator, a designer and an intellectual being.

Huwez ondoa contradictions, kweny maisha ya binadamu contradictions ni muhimu, ndizo zinatufanya tufikirie and become better everyday, hata kwa sisi tunamwamini Yesu bado tume tofautiana, tuna contradictions kibao tuu, hata wanaomwamini Muhammad nao wana contradictions kibao tuu, hata sisi watanzania ni watu wa taifa moja lakini tuna contradictions huyu ccm huyu chadema, huyu mchaga anaamini hivi huyu mwingine mmasai anaamini vingine.
Acha contradictions ziwepo, kumuamini mungu haimaanishi kusiwepo na contradictions, na hio ndio maana ya imani, kusingekuwa na contradictions isingeitwa imani, ingeitwa "fact", sasa kama wewe unataka kumwamini mungu bila contradictions ni uamuzi wako na mm nimeamua kumuamini mungu hivohivo na sintofahamu zilizopo.
 
Mkuu vipi kuhusu Sisi Ignostic na Agnostic..
Tunaprove vipi Kitu wakati hakipo..
Me naamini Kiranga yuko sawa..

Ni sawa useme Binadamu anaweza kuishi bila Moyo..

Ni jukumu la wewe Kusema kuwa Binadamh huyo anawezaje kuishi bila moyo ila sio Jukumu la Mtu ambaye Haamini/Hajui kama inawezekana usemacho kukupa uthibitisho kwamba moyo Ni muhimu uwepo..

Na kingine Kwa ignostic wanasema kufika kwa mwisho wa mawazo yetu haimanishi kuna Nguvu ipo ni kwamba hatujui tu kipi hasa kimefanya vile..

Kwa mfano zile point kama "We unahisi Binadamu katokea wapi"

Kutokujua binadamu katokea wapi au kitu fulani kimekuwaje hakikupi Uhalali wa kuthibitisha uwepp wa Mungu
 
Kwa sheria za Tanzania hakutenda dhambi.

Sheria za Tanzania zinaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mzazi au mlezi.

Ila Mohamed kuoa mtoto wa miaka 9 ilikua ni kinyume na sheria za Tanzania.
 
Ubikra wale uliisha baada ya kumzaa Yesu. Lakini mpaka leo kwa nini bado anaitwa bikra Maria wakati alipata watoto wengine kwa kuingiliwa?
Ni mazoea tuu broo wala isikupe shida, nahic kwasababu walioandika biblia walim-adress hivo bac na sisi tumeona tuendelee hivohivo
 
We need an open court.

Kwa hayo maelezo tu ushajifunga tyr.
 
Kwa nini unaona the universe suggests there must be a grand creator, a designer?

Ikiwa complexity ni lazima iwe na designer, huoni kwamba huyo designer naye itabidi awe complex zaidi ya hicho kilichokuwa designed, kiasi kwamba na yeye atahitaji kuwa na designer complex zaidi, na huyo naye awe na wake complex zaidi, ad infinitum, ad nauseam ?

Umeandika vizuri "the universe suggests...".

Inabidi tuwe waangalifu sana kwenye habari za "the universe suggests...".

Unajuaje kipi ni kweli "the universe suggests..." na kipi ni bias yako ya kiutu tu?

Nitakupa mfano. Tuongelee rangi. Unaweza kusema rangi zipo, nyekundu, bluu etc. Hizi tunaziona. Ni jambo ambalo halina mjadala. The universe suggests rangi zipo, hivyo zipo.

Lakini, rangi hazipo. Rangi ni matokeo ya ubongo tu unavyofanya kazi na mwanga. Vitu havina rangi. Vitu vinatoa mwanga tu, jinsi ubongo unavyotafsiri huo mwanga ndiyo tunapata rangi. Na kuna watu wako color blind, kuna wanyama hawaoni rangi fulani.

Sasa hapo, ukitaka kwenda na uzoefu wako tu kusema "the universe suggests there is color" utapotea.

Sasa huoni argument ya "the universe suggest..." iko so prone to anthropic bias, the bias of looking at things from a human point of view, to the extent of assigning a designer God to the universe?

Pia, umesema tu contradiction haikwepeki. Ni sehemu ya maisha. Lakini hujajibu kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aumbe ulimwengu sio tu wenye contradictions, bali mpaka unao conntradict uwepo wake yeye mwenyewe (problem of evil).

Hujajibu swali hili.

Nakuuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu unao contradict uwepo wake?

Unaniambia contradiction ni sehemu ya maisha tu.

Hujajibu swali hapo. Unaonesha hujui jibu tu, kama hata swali umelielewa.
 
Ni kama vile lowasa alikuwa naomba kura kwa mgongo wa walutheri et nao wapewe uongozi wa nchi alikuwa ametumwa na kanisa?
Elewa kwanza kuufuta ukristo duniani na ndo ulikuwa unaanza akiwemo kwanza mtume Paulo mwenyewe
Nikiri kwanza kuwa ukristo wa Leo umechakachuliwa ila naiona wimbi la kufufuliwa kwa ukristo wa kweli
 
NImejifunga sehemu gani?
Umesema
"Kutokujua binadamu katokea wapi au kitu fulani kimekuwaje hakikupi Uhalali wa kuthibitisha uwepo wa Mungu"

Yaani ww haujui asili ya binadamu ni ipi, ila mimi naijua na nakwambia asili ni Mungu, sasa wewe ukipinga si inabidi upinge kuwa sipo sahihi, yaani upinge uwepo wa huyo Mungu, yaan u-prove kwamba Mungu hayupo.
ndo maana nasema kazi ya kuprove hapa ni yenu, sio yetu.

Hii kesi ikiwa kwenye open discussion mtatoka na aibu sana, kama hadi einstein mwisho wa maisha yake alikiri Mungu yupo, wewe ni nani?
 
Huwezi kupata ukristo safi kwenye Dunia ya Sasa mkuu Misingi yote imeshabomolewa
 
HAhaha..
Mkuu Tusipende kuzungumza uongo na kucreate Conspiracy zisizo na maana! ,Ni lini ensteirn alikiri Mungu yupo?..
Na hata akikiri inabadilishaje Ukweli?

Lets Say nilikuwa nikitembea nikaona Jiwe njiani, Kwanini moja niseme hili jiwe limerushwa na mtu?
Kwanini lisiwe ni gari limedondosha jiwe hilo?

Nashangaa mpaka sasa hunathibitisha uwepp wa Mungu unatakaje nithibitishe kutokuwepo kwake while wewe hujathibitisha kuwepp.kwake..?

Kila mtu anajua Binadamu anatoka wapi anazaliwa nakua anazaa..
Lini kuna mtu amewahi kuumbwa ukamuona?
Embryology Its simple unaweza ukaisoma jinsi Sperm inavyoungana na ovum na kufanya mtoto step by step..

Acheni kupotosha na falacy zenu
 
Ndoa ni nini mkuu unaweza kuta nakataa kitu nisicho kijua 🙄
Kwa tafsiri yangu
Ndoa ni muunganiko wa kimwili kati ya watu wawili wa jinsia mbili tofauti.
 
4 Years in theology, And 2 years in philosophy, and so Unaweza ukaleta hoja?
Where from? We mprotestanti tu huwezi kujua theology ya kunizidi ata chembe. Yani theology ya watu ambao tayari wapo in error ? Are you serious?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…