Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Source:Trust me bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wadogo Zake walikuwa Wanafunzi wa yesu na wengine wameamdika Biblia kama James Au YakoboAnaheshimiwa kwaajili ya kumzaa yesu, hao wadogo zake hawana umuhimu maana wawakuja kimiujiza.
The Gospel of birth of Mary (biblia)Source:Trust me bro
Sasa Hapa Umedanganya Sana dada FaizaFoxy na Umekufuru kuipinga Quran yako..Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Kila myahudi miaka hiyo Walikuwa na Hiyo desturi na mpaka sasa ipo..Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watu
Reference pekee ntakayoikubali ni yamaandiko kutoka kwenye Biblia yenyewe na sio historia.Kila myahudi miaka hiyo Walikuwa na Hiyo desturi na mpaka sasa ipo..
Desturi ya Bar mitzvah na Bat mitzvah haiepukiki na iko Tofauti na hiyo Ya ukeketaji ya wamasai unayosema..
Hakuna jina Yahya kwa Wayahudi.Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Kanisa la kwanza halikumuweka Maria pale wala hakuwahi ombwa, ilianzishwa na Gregory wa kwanza mwaka wa 490 akingiza Imani ya Diana na mwanae alikuwa mungu wa waefesoJe salutation ya kumuita bikira baada ya Yesu kuzaliwa bado ina make sense?
Kwa nini anapigiwa goti tena ktk mfano wa kazi ya mikono ya binadamu?
Na zeusi ndiye mungu kiranja wa EfesoKanisa la kwanza halikumuweka Maria pale wala hakuwahi ombwa, ilianzishwa na Gregory wa kwanza mwaka wa 490 akingiza Imani ya Diana na mwanae alikuwa mungu wa waefeso
Japo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .Biblia kuandikwa miaka mingi kabla ya Qur'an hakuipi uhalali kuwa ni ukweli.
Sababu mojawapo ya kushushwa Qur'an ni hiyo ya biblia kuwa imetiwa mikono ya watu.
Qur'an imekuja kuubainisha ukweli ni upi.
Qur'an ipo wazi kabisa:
Quran18:1. Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo. 1
2. Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri. 1
3. Wakae humo milele. 3
4. Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana. 4
5. Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu. 5
Biblia imepunguzwa mkuu Na ndo maana hakuna standard Number ya verses kwenye Vitabu vya biblia..Reference pekee ntakayoikubali ni yamaandiko kutoka kwenye Biblia yenyewe na sio historia.
Kwani ni wapi imesemwa Yusuph alitenda dhambi kumposa/kumuoa Mariam?imekuwa ni kawaida binti wa miaka hata 16 awe na boyfiend anaezini nae na hata wazazi wakawa wanajua na kuchukulia poa lakini binti huyo huyo akiolewa kwa baraka za Mwenyezi Mungu na kuikwepa zinaa ni kosa jwa kizazi cha sasa
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,
YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
Umesema mwenyewe kwamba ni nadra sana kwa kipindi hiko kukuta Binti wa miaka 15 hajaolewa , sasa inamaanisha kwamba walikuepo ambao hawajaolewa ila ni wachache na katika hao wachache mmoja wapo ni Maria mbona ni simpoMUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Thibitisha mkuu.Japo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .
Hili kundi linalojiita wakristo ata sijui wanafuata nini coz wapo kinyume na biblia 85% .
Mkristo ni mpenda Amani, Hana kinyongo, anaposali majini na mapepo na wachawi wanakimbia mkristo wa kweli alipo huwezi kuta mauzauzaJapo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .
Hili kundi linalojiita wakristo ata sijui wanafuata nini coz wapo kinyume na biblia 85% .