Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Sasa Hapa Umedanganya Sana dada FaizaFoxy na Umekufuru kuipinga Quran yako..

Yohana na Yesu..
Yohana alikuwa Mjomba wake na Yesu na sio kaka yake
 
Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watu
Kila myahudi miaka hiyo Walikuwa na Hiyo desturi na mpaka sasa ipo..

Desturi ya Bar mitzvah na Bat mitzvah haiepukiki na iko Tofauti na hiyo Ya ukeketaji ya wamasai unayosema..
 
Kila myahudi miaka hiyo Walikuwa na Hiyo desturi na mpaka sasa ipo..

Desturi ya Bar mitzvah na Bat mitzvah haiepukiki na iko Tofauti na hiyo Ya ukeketaji ya wamasai unayosema..
Reference pekee ntakayoikubali ni yamaandiko kutoka kwenye Biblia yenyewe na sio historia.
 
Hakuna jina Yahya kwa Wayahudi.
 
Japo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .

Hili kundi linalojiita wakristo ata sijui wanafuata nini coz wapo kinyume na biblia 85% .
 
Reference pekee ntakayoikubali ni yamaandiko kutoka kwenye Biblia yenyewe na sio historia.
Biblia imepunguzwa mkuu Na ndo maana hakuna standard Number ya verses kwenye Vitabu vya biblia..
Ukienda kwa orthodox na roman catholic (Makanisa ya kwanza yalikuwa na vitabu zaido ya 72)
Ila baadae vilipunguzwa na waprotestant kufikia mpaka 66 kwemye miaka ya 1600s

Sikiliza Rabbi akitoa maelezo ya majina mnavyoyakosea kuyaita kwenye biblia mnayosema ni ya kwenu..
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani ni wapi imesemwa Yusuph alitenda dhambi kumposa/kumuoa Mariam?
 
Umesema mwenyewe kwamba ni nadra sana kwa kipindi hiko kukuta Binti wa miaka 15 hajaolewa , sasa inamaanisha kwamba walikuepo ambao hawajaolewa ila ni wachache na katika hao wachache mmoja wapo ni Maria mbona ni simpo

Job true true
 

Hii habari umeitoa wapi, katika maandiko yapi kwenye Biblia inayoeleza umri wa Mariam kuposwa na Yusuph katika umri huo?

Maana Biblia imeandikwa maneno yafuatayo ambapo ukiyasoma unaona Mariam hakuwa kashaguswa na mwanaume (alikuwa bikira), sasa je tangu akabidhiwe kwa Yusuph katika umri mdogo uliotaja ina maana hakuwa kapigwa mashine hadi anakutana na malaika akiwa mwanamke mtu mkubwa?

Luka 1
34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
 

Mtoa mada binafsi sidhan kama
Kuna mkristo yoyote ambaye anajua ukristo akakubishia .. nahis labda umeleta hili aidha kutaka Kuhalalisha au unataka kubalance mizani sababu Mtume Muhammad (SAW) nae alioa binti wa miaka tisa..

Labda nimwambie kuwa Kiutaratibu wakristo wametenganisha tamaduni na taratibu za kuishi za watu wengine na imani yao.. waislam wamefanya tamaduni za mwaarabu ni sehemu ya iman yao. Yaan muislam kokote alipo ili aonekane muislam Timilifu lazima aishi kwa Kufuta baadhi ya tamaduni.

Mfano aina ya mavazi.. hata wakat wa ndoa mwislam mhaya wa bukoba atavaa kama kijana wa saudia kushika jambia na kilemba..

Israel ni sehem ya ukanda wa mashariki ya mbali kuja hadi huku saudia kuwa na tamaduni Inazofanana na mwarabu ni jambo la
Kawaida.. mmakonde ukienda africa magharibi.. kuna tamaduni atakuta kama za
Kwao.. sababu kiuhalisia wote ni jamii inayofana

Jambi la pili ikiwa unataka kuhalalisha mtu kuoa binti mdogo kwa kufata mila na desturi za watu wa kale.. kitu ambacho hata hapa africa tulikuwa tunafanya kabla ya hizo dini.. basi utaondoa maana nzima ya neno Maarifa .. na utathibitisha yale maneno yanayosema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Kitendo cha mwanamume kulala na binti mdogo kinamshusha hadhi chini ya mnyama.. maana hata mnyama na ambaye hajapewa uwezo wa kujitambua zaidi ya tambuzi za hatari na tambuz za kujuana.. hafanyi hivyo

Kama ni kufanya kama waliofanya watu wa kale kiwe kigezo cha misingi ya dini.. basi tembeleeni punda na ngamia kwenye shughuli zenu za kila siku.. maana si mnataka kufata tamaduni kuzifanya ziwe dini.

Kwa kuondozea jua kuwa tofauti na waislam wanaoamini quran imeshushwa na Mungu...kwa Mkristo anayejua ukristo hawez kusema Biblia kitabu cha Mungu.. Biblia ni mkusanyiko wa maandiko (manuscript) yalioandikwa na watakatifu wa Mungu au watu waliokuwepo kipindi watakatifu wa Mungu wapo dunian kinachotoa mafundisho jinsi gani ya kuishi ya jinsi gani ya kumtegemea na kumuabudu Mungu wako.

Mfano Musa alipewa tablet zenye Amri za Mungu. Musa aliwasomea wana waisrael ndo na sisi tunazijua leo

So Mungu alitoa mafundisho kwa watu wake direct and indirect .. Zaman malaika walikuwa wanashuka na maagizo.. au ndotoni au kwenye kuta au sauti

Ila toka Yesu alipoondoka akawaambia wanafunzi waende kwa mataifa wakawafundishe na kuwahubiria ndo mwanzo wa kuwa na biblia (injili) ..
 
Japo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .

Hili kundi linalojiita wakristo ata sijui wanafuata nini coz wapo kinyume na biblia 85% .
Thibitisha mkuu.
 
Japo mimi sio mtu wa dini ila nakuunga mkono , mtu akifuata biblia inavyotakiwa lazima awe mwislamu kimatendo na kila kitu .

Hili kundi linalojiita wakristo ata sijui wanafuata nini coz wapo kinyume na biblia 85% .
Mkristo ni mpenda Amani, Hana kinyongo, anaposali majini na mapepo na wachawi wanakimbia mkristo wa kweli alipo huwezi kuta mauzauza
Jana nilikuwa namsikiliza mchungaji anasema eti Kuna watu manaswalisha Alitoka hapo anakwenda kuwa mganga wa kienyeji nilicheka hadi nikatokwa na chozi, duh, Dunia Ina siri jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…