Nilisha kuwa mkristo kindaki ndaki kabla ya kujitambua , nikafuata biblia kila mstari kimatendo nikajiona sina tofauti na mwislmu kimatendo na kiitikadi.Thibitisha mkuu.
Mkristo ni mpenda Amani, Hana kinyongo, anaposali majini na mapepo na wachawi wanakimbia mkristo wa kweli alipo huwezi kuta mauzauza
Jana nilikuwa namsikiliza mchungaji anasema eti Kuna watu manaswalisha Alitoka hapo anakwenda kuwa mganga wa kienyeji nilicheka hadi nikatokwa na chozi, duh, Dunia Ina siri jamani
Na baada ya kujiona ni mwislamu kiitikadi na kimatendo, ilikuwaja ukajikuta tena huamini dini!?Nilisha kuwa mkristo kindaki ndaki kabla ya kujitambua , nikafuata biblia kila mstari kimatendo nikajiona sina tofauti na mwislmu kimatendo na kiitikadi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na baada ya kujiona ni mwislamu kiitikadi na kimatendo, ilikuwaja ukajikuta tena huamini dini!?
Kristo ulienea duniani bila vita, Sasa njoo kwa wenzetu hata walipo hawataki madini menginewameamrishwa kuwa hata watoto wao wakienda kinyume na dini yaoSijaelewa!! una maanisha kwamba waislamu sio wapenda amani ?
UNataka refference ya kipi?Kitu hukijui vizuri au hauna references achana nacho.
Nikitaka kuwa kwenye dini ni bora niwe mwislamu ila mpka siku nitakufa sitakua na dini .Na baada ya kujiona ni mwislamu kiitikadi na kimatendo, ilikuwaja ukajikuta tena huamini dini!?
Maria aliolewa as soon as alipomaliza Bat mitzvah..Umesema mwenyewe kwamba ni nadra sana kwa kipindi hiko kukuta Binti wa miaka 15 hajaolewa , sasa inamaanisha kwamba walikuepo ambao hawajaolewa ila ni wachache na katika hao wachache mmoja wapo ni Maria mbona ni simpo
Job true true
Uislamu na wenyewe kuna Hitilafu kibao kaka..Nikitaka kuwa kwenye dini ni bora niwe mwislamu ila mpka siku nitakufa sitakua na dini .
Twende taratibu mkuu nataka na mimi nipate huo uelewa ulioupata ukatoka kuwa Christian mpaka Muslim kiitikadi na matendo, well! Swali langu ulipatwa na nini mpaka ukaamua kukaa bila kuamini dini yoyote wakati tayari umeona uislam una afadhari kwako!?Nikitaka kuwa kwenye dini ni bora niwe mwislamu ila mpka siku nitakufa sitakua na dini .
Najua kaka mkubwa ila bora waislamu wanasimamia misingi ya kiume na ya kiasili kuliko ukristo .Uislamu na wenyewe kuna Hitilafu kibao kaka..
Nilikuwa Huko Kabla sijaingia kwenye uyahudu na kabla sijaacha kabisa mambo ya dini
Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..Najua kaka mkubwa ila bora waislamu wanasimamia misingi ya kiume na ya kiasili kuliko ukristo .
Mfano misingi ipi ambayo Muslims wanasimamia lakini Christians hawasimamii!? Help me plsNajua kaka mkubwa ila bora waislamu wanasimamia misingi ya kiume na ya kiasili kuliko ukristo .
Hakuolewa ndoa unayojua wewe, kwenye utamaduni wa kiyahudi hasa miaka ile. Maria alikuwa betrothed, yani ni uchumba lakini hakuna engagement kwenye sexual act. Yusufu alikuwa mzee, alihitaji mtu wa kumsaidia. Sio kujamiana kama mnavyodhani. Ndio maana Maria alipotolewa na malaika na kuelezwa habari ya kuzaa mtoto alishtuka kwa maana "hakumjua mwanaume yeyote" yani hakuwahi kuzagamuliwa. Hamsomi au kaeni vizuri na wakristo asili Yani wakatoliki wawaelezeni vizuri. Huko tushapita.MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Kama umezaliwa ukakulia ukristo sio rahisi ukubaliane na mimi , kwa sababu , dini mmezifanya kiushabiki na kimapenzi zaidi kuliko uhalisia , ila kama umeshajitambua dini haina umuhimu kwako tena, ila kama bado unaitaji ili ufanye mambo mema mpaka utishiwe jehanam , uislamu ni bora zaidi.Twende taratibu mkuu nataka na mimi nipate huo uelewa ulioupata ukatoka kuwa Christian mpaka Muslim kiitikadi na matendo, well! Swali langu ulipatwa na nini mpaka ukaamua kulaa bila kuamini dini yoyote wakati tayari umeona uislam una afadhari kwako!?
Naomba elimu kidogo sio mabishano mkuu.Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..
Halafu wanafuta Waislamu..
Ila kwa Wakristo nakuunga mkono ukristo umeharibiwa sana na Kufanyiwa update kadhaa ambazo zimeharibu hata asili ya Dini yao
Hii sentensi ina uongo kwa 100% Jaman someni Historia ya Dini zenu kabla ya kucoments..Kristo ulienea duniani bila vita, Sasa njoo kwa wenzetu hata walipo hawataki madini menginewameamrishwa kuwa hata watoto wao wakienda kinyume na dini yao
Wayahudi sijajua dini yao ipo vip ila wakristo hakuna kitu .Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..
Halafu wanafuta Waislamu..
Ila kwa Wakristo nakuunga mkono ukristo umeharibiwa sana na Kufanyiwa update kadhaa ambazo zimeharibu hata asili ya Dini yao
Weka tusome mkuu ili tuongeze maarifaThe Gospel of birth of Mary (biblia)
Aprokrifa
Inachukua muda kujua Jikite katika kusoma Sana Biblia ,Baadae kasome historia ya Mapitio ya kanisa, Soma Theology soma vikao vyote vya kidini Ecumenical council of the churches ukisoma kanisa la kwanza early churches..Naomba elimu kidogo sio mabishano mkuu.