Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Sijaelewa!! una maanisha kwamba waislamu sio wapenda amani ?
Mkristo ni mpenda Amani, Hana kinyongo, anaposali majini na mapepo na wachawi wanakimbia mkristo wa kweli alipo huwezi kuta mauzauza
Jana nilikuwa namsikiliza mchungaji anasema eti Kuna watu manaswalisha Alitoka hapo anakwenda kuwa mganga wa kienyeji nilicheka hadi nikatokwa na chozi, duh, Dunia Ina siri jamani
 
Umesema mwenyewe kwamba ni nadra sana kwa kipindi hiko kukuta Binti wa miaka 15 hajaolewa , sasa inamaanisha kwamba walikuepo ambao hawajaolewa ila ni wachache na katika hao wachache mmoja wapo ni Maria mbona ni simpo

Job true true
Maria aliolewa as soon as alipomaliza Bat mitzvah..
Jamani nasisitiza tena tusome na kama hatujui tuwaulize Mapadre,Maaskofu na wachungaji
 
Nikitaka kuwa kwenye dini ni bora niwe mwislamu ila mpka siku nitakufa sitakua na dini .
Twende taratibu mkuu nataka na mimi nipate huo uelewa ulioupata ukatoka kuwa Christian mpaka Muslim kiitikadi na matendo, well! Swali langu ulipatwa na nini mpaka ukaamua kukaa bila kuamini dini yoyote wakati tayari umeona uislam una afadhari kwako!?
 
Najua kaka mkubwa ila bora waislamu wanasimamia misingi ya kiume na ya kiasili kuliko ukristo .
Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..
Halafu wanafuta Waislamu..
Ila kwa Wakristo nakuunga mkono ukristo umeharibiwa sana na Kufanyiwa update kadhaa ambazo zimeharibu hata asili ya Dini yao
 
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?

Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.

Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.


Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Hakuolewa ndoa unayojua wewe, kwenye utamaduni wa kiyahudi hasa miaka ile. Maria alikuwa betrothed, yani ni uchumba lakini hakuna engagement kwenye sexual act. Yusufu alikuwa mzee, alihitaji mtu wa kumsaidia. Sio kujamiana kama mnavyodhani. Ndio maana Maria alipotolewa na malaika na kuelezwa habari ya kuzaa mtoto alishtuka kwa maana "hakumjua mwanaume yeyote" yani hakuwahi kuzagamuliwa. Hamsomi au kaeni vizuri na wakristo asili Yani wakatoliki wawaelezeni vizuri. Huko tushapita.
 
Twende taratibu mkuu nataka na mimi nipate huo uelewa ulioupata ukatoka kuwa Christian mpaka Muslim kiitikadi na matendo, well! Swali langu ulipatwa na nini mpaka ukaamua kulaa bila kuamini dini yoyote wakati tayari umeona uislam una afadhari kwako!?
Kama umezaliwa ukakulia ukristo sio rahisi ukubaliane na mimi , kwa sababu , dini mmezifanya kiushabiki na kimapenzi zaidi kuliko uhalisia , ila kama umeshajitambua dini haina umuhimu kwako tena, ila kama bado unaitaji ili ufanye mambo mema mpaka utishiwe jehanam , uislamu ni bora zaidi.
 
Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..
Halafu wanafuta Waislamu..
Ila kwa Wakristo nakuunga mkono ukristo umeharibiwa sana na Kufanyiwa update kadhaa ambazo zimeharibu hata asili ya Dini yao
Naomba elimu kidogo sio mabishano mkuu.
 
Kristo ulienea duniani bila vita, Sasa njoo kwa wenzetu hata walipo hawataki madini menginewameamrishwa kuwa hata watoto wao wakienda kinyume na dini yao
Hii sentensi ina uongo kwa 100% Jaman someni Historia ya Dini zenu kabla ya kucoments..
Ukristo umeua watu wengi sana..

Kuna Watu wamepoteza maisha Ulaya,Marekani na sehemu nyingi kwa ajili ya Kujinasibu kueneza ukristo kuna Crusade nyingi zimefanyika..
Kuna makundi mengi ya Kigaidi ya kikristo yalizuka kwenye historia bila kuwasahau Klux
 
Bora Wayahudi kidogo kwenye Hii ibrahimic yote..
Halafu wanafuta Waislamu..
Ila kwa Wakristo nakuunga mkono ukristo umeharibiwa sana na Kufanyiwa update kadhaa ambazo zimeharibu hata asili ya Dini yao
Wayahudi sijajua dini yao ipo vip ila wakristo hakuna kitu .
 
Naomba elimu kidogo sio mabishano mkuu.
Inachukua muda kujua Jikite katika kusoma Sana Biblia ,Baadae kasome historia ya Mapitio ya kanisa, Soma Theology soma vikao vyote vya kidini Ecumenical council of the churches ukisoma kanisa la kwanza early churches..
soma vitabu vya Early fathers church history kama kina Father eusebian..

Ukitoka hapo soma biblia soma historia utagundua vitu vingi sana..
Sio kitu cha siku moja ni kitu cha commitment na kuamua kutafuta ukweli
 
Back
Top Bottom