DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Wayahudi au Jews Wako vizuri sana Na ukibahatika Fatilia Mafundisho yao hutajutaWayahudi sijajua dini yao ipo vip ila wakristo hakuna kitu .
Mkuu hujanielewa ndio maana unashindwa kujibu swali langu. Nataka kujifunza kupitia wewe, pia mimi ni omnistKama umezaliwa ukakulia ukristo sio rahisi ukubaliane na mimi , kwa sababu , dini mmezifanya kiushabiki na kimapenzi zaidi kuliko uhalisia , ila kama umeshajitambua dini haina umuhimu kwako tena, ila kama bado unaitaji ili ufanye mambo mema mpaka utishiwe jehanam , uislamu ni bora zaidi.
Vijana wa kiume ndo hubalehe.MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?
Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.
Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.
Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Naruhusiwa kuuliza maswali na wewe ukansaidia kinijibu!?Inachukua muda kujua Jikite katika kusoma Sana Biblia ,Baadae kasome historia ya Mapitio ya kanisa, Soma Theology soma vikao vyote vya kidini Ecumenical council of the churches ukisoma kanisa la kwanza early churches..
soma vitabu vya Early fathers church history kama kina Father eusebian..
Ukitoka hapo soma biblia soma historia utagundua vitu vingi sana..
Sio kitu cha siku moja ni kitu cha commitment na kuamua kutafuta ukweli
Gospel of Mary ni kitabu kipo kwenye apokrifa..Weka tusome mkuu ili tuongeze maarifa
Ruksa mkuuNaruhusiwa kuuliza maswali na wewe ukansaidia kinijibu!?
Mkuu mwanzoni ulikuwa sawa ila ulivyoendelea kuwa Yusuph alitaka mtu wa kumsaidia hapo ndo uliharibu kabisaHakuolewa ndoa unayojua wewe, kwenye utamaduni wa kiyahudi hasa miaka ile. Maria alikuwa betrothed, yani ni uchumba lakini hakuna engagement kwenye sexual act. Yusufu alikuwa mzee, alihitaji mtu wa kumsaidia. Sio kujamiana kama mnavyodhani. Ndio maana Maria alipotolewa na malaika na kuelezwa habari ya kuzaa mtoto alishtuka kwa maana "hakumjua mwanaume yeyote" yani hakuwahi kuzagamuliwa. Hamsomi au kaeni vizuri na wakristo asili Yani wakatoliki wawaelezeni vizuri. Huko tushapita.
Najua kaka mkubwa ila bora waislamu wanasimamia misingi ya kiume na ya kiasili kuliko ukristo .
Kasome acha uvivu.Mkuu mwanzoni ulikuwa sawa ila ulivyoendelea kuwa Yusuph alitaka mtu wa kumsaidia hapo ndo uliharibu kabisa
Mkuu Mimi ni Ex pastor, Nimesoma Theology so ruksa kuuliza swali lolote nikueleweshe..Kasome acha uvivu.
Pastor? Nikajua padri, pastor sasa si walewale tu? Uzao wa muasi Luther ambaye alikuwa in error!! Protesting mpaka lini?Mkuu Mimi ni Ex pastor, Nimesoma Theology so ruksa kuuliza swali lolote nikueleweshe..
Unakopita sasa hivi mimi nilikuwa Huko miaka 30 ilopita
.
Ni nani wao waliofuatia baada ya Yesu?Mimba ya yesu ilitokea kimiujiza bila tendo ndo maana akaitwa bikira...waliofatia nadhani tendo lilifanyika[emoji3]
nmekuelewa vizuri sana , ukifuatilia ukristo utagundua hawana wanachosimamia kila mmoja anachomoka na kifungu chake tu, ila wakiifuata biblia yote kama msingi wa dini yao kimatendo na kiitikadi hawatakuwa na tofauti yoyote na mwislamu.Mkuu hujanielewa ndio maana unashindwa kujibu swali langu. Nataka kujifunza kupitia wewe, pia mimi ni omnist
4 Years in theology, And 2 years in philosophy, and so Unaweza ukaleta hoja?Pastor? Nikajua padri, pastor sasa si walewale tu? Uzao wa muasi Luther ambaye alikuwa in error!! Protesting mpaka lini?
Wewe ni Ex pastor WA Kenya yule anayepatika YouTube?Mkuu Mimi ni Ex pastor, Nimesoma Theology so ruksa kuuliza swali lolote nikueleweshe..
Unakopita sasa hivi huenda mimi niliwahi kuwa Huko miaka 30 ilopita..
Au huenda una elimu kubwa kunizidi so kikubwa, Nafikir kama una hoja Weka mezani tuichambue
Maswali yangu ni kuhusu Christianity and Islam maana naona una uelewa sana pande hizo.Ruksa mkuu
Kwani kwa waislamu kuua ni vizuri ? Naongelea ndani ya Qur'an na sio mihemko ya vikundi fulani?Niambie msimamo wa uislamu katika abortion!?
Sasa baada ya kujadili Hoja tumeanza kuleta utani?Wewe ni Ex pastor WA Kenya yule anayepatika YouTube?
Mimi sipingi haya. Nataka usi generalise mambo, naomba wewe uwe case study katika kunijibu.nmekuelewa vizuri sana , ukifuatilia ukristo utagundua hawana wanachosimamia kila mmoja anachomoka na kifungu chake tu, ila wakiifuata biblia yote kama msingi wa dini yao kimatendo na kiitikadi hawatakuwa na tofauti yoyote na mwislamu.
Ndio maaana nikasema kama wewe unapenda biblia na mafundisho yake ni bora moja kwa moja uwe mwislamu kuliko kuyumbishwa na mihemko na tofauti za watu katika kutafsiri biblia .