GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.