Leo nawaomba tuweke Utani wetu pembeni hivi kweli kabisa tunaamini Simba na Yanga zitatoboa CAFCL Kesho Egpyt na South Africa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
 
Yanga anayo nafasi ya kushinda

Mipango na mikakati mizuri hasa ndani ya uwanja ni vitu muhimu na kuzingatia sana kwao

Giants kama sundown katika hatua hizi huangushwa na hawa underdog sbb wanakua overconfidence,wana relax,hawawi na wasiwasi,then mpinzani akiwa na hari,akijituma na siku ikawa yake ndio yanatokea yale ya as Roma Vs Barcelona
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Kwahiyo!?
 
kwa maoni yangu,
kwa maandalizi yaliyofanyika tayari, hamasa, shauku, ukubwa na upana wa vikosi vya Simba na Yanga, Masandawana anakalishwa vizuri tu pale nyumbani kwa madiba, Farao anatulizwa vile vile pale nyumbani kwakwe Cairo 🐒
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.

Uwezekano wa kutoboa upo...

Timu zetu zilionesha uwezo wa kupambana kwenye mechi za mkondo wa kwanza...

Zikicheza kwa nidhamu ile ile kwenye mechi hizi za mkondo wa pili, uwezekano wa kupita upo...
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Hizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari,maana mlivyo pangiwa na Al Ahly mliruka na kushangilia.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.
 
Subiri muda ufike mkuu, kwasasa tufanye maombi ya dhati tu kwa team zetu.
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
hakuna timu ya kutoboa but genta,viongozi wa timu hawawezi kukiri hivyo hadharani,tutawavunja moyo wachezaji wetu,hivyo acha tu tuwatie kihoro na wakapambane,na wakishindwa tu,tunabadilisha msemo na kusema wametolewa kishujaa
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Nusu ni;
Simba vs Petroleos
Asec Mimosas vs Young Africans

Nilioneshwa kabla hata ya draw ya robo fainali.

Screenshot kabisa!
 
Hapa timu inayotia shaka ni Simba maana huko Cairo anaenda kutanua miguu yote afu kina Modeste wanaweka waaaah.... Ila Yanga game bado mbichi 50/50.... Mamelod yule kocha hana mbinu mbadal akibanwa kaisha.... Mamelod 2- 1 Ngoma inaishia kwenye tuta.... Yanga waleee tunamsubiri Asec.
 
Hivi na sisi ambao si ma jf expert tukisema timu fulani ikishinda tupigwe 🔥 afu ikashinda tutaachwa kweli?
 
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Mimi naamini Yanga anatoboa
 
Hizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari,maana mlivyo pangiwa na Al Ahly mliruka na kushangilia.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.
Aahaaaa

Kila mtu apambane na vita yake
 
Back
Top Bottom