GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga anayo nafasi ya kushindaSitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Kwahiyo!?Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Vipi mshabiki wa damu umesafiri kwenda Misri?Mpira unadunda, moira dakikq 90 au zaidi kidogo.
Ngoja muda uongee.
Naipenda Simba Mshabiki wa damu.
kwa maoni yangu,Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Hizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari,maana mlivyo pangiwa na Al Ahly mliruka na kushangilia.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
hakuna timu ya kutoboa but genta,viongozi wa timu hawawezi kukiri hivyo hadharani,tutawavunja moyo wachezaji wetu,hivyo acha tu tuwatie kihoro na wakapambane,na wakishindwa tu,tunabadilisha msemo na kusema wametolewa kishujaaSitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Nipanulie niiweke.Kwahiyo!?
Nusu ni;Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Mimi naamini Yanga anatoboaSitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Naunga mkono hojaNusu ni;
Simba vs Petroleos
Asec Mimosas vs Young Africans
Nilioneshwa kabla hata ya draw ya robo fainali.
Screenshot kabisa!
AahaaaaHizi lugha kabla ya mechi ya kwanza hazi kuwepo,baada ya Yanga kupangwa na Mamelod mliona Yanga ndio tayari,maana mlivyo pangiwa na Al Ahly mliruka na kushangilia.Ila sasa mnatumia lugha za mjumuisho,kila mmoja apambane na mechi yake, kwani hata matokeo ni tofauti.