Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana.
Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu zinazodhaminiwa na GSM, uhakika wa ubingwa ni 100%.
Nini wamekifanya?
Timu walizozidhamini zote zinapewa maji ya GSM na jezi zenye nembo ya GSM, kama masharti ya udhamini, Yanga na Simba ni timu za utamaduni, kama ukikubali kuvaa jezi yenye nembo ya GSM na ukapokea maji yao ukawa unayanywa tu jiandae kula vipigo mwanzo mwisho.
Wao hawapangi matokeo hilo nakataa ila udhamini waliopewa unawapumbaza kimtindo, hakuna anayedhaminiwa na GSM atatoka salama ndio maana wao wana uhakika 100% kuzipiga hizo timu, na kwa vile hawawezi kugomea jezi hizo wala maji wakae wakijua watakufa tu.
Ukitaka kuamini haya nayosema ngoja waende mkoani wakacheze na timu wasioidhamini uone mbungi lake, hapa dar sina ishu nako ila huko mikoani mbungi ngumu, kazi ipo.