Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kisinda ni Msumbufu style ya Morrison. Shida yake ni papara na uchoyoMkuu kuna watu huwa hawapendi kusikia ukweli,,,lakini huyu Sarpong yupo vizuri sana.Huyu jamaa akipata viungo wazuri wa kumpa killer passes hakika ufungaji bora anabeba mapema asubuhi
Na kama ataendelea kuwa mtulivu, hapa kwetu anapita tu,,sio muda mrefu atakuwa ligi ya S.AFRICA,EGYPT,MORROCCO au hata nchi za Ulaya kwa nchi ambazo hazina ligi ngumu,,after all anaonekana bado ni dogo
Kisinda naye sio mbaya,,anahatija kuongeza utulivu tu!