Leo naweka 'Utani' wangu pembeni kabisa na naomba wana Simba SC Wenzangu 'Mnisamehe' ila kwa huyu Michael Sarpong Kazi ipo Kwetu na Tuisila abadilike

Kisinda ni Msumbufu style ya Morrison. Shida yake ni papara na uchoyo
 
Dah ila yule Nurdin Chona sio mtu mzuri
 
Yanga hawana timu nzuri,wana wachezaji wazuri kidogo.Wengine hawataelewa naongea nini.Labda huko baadae.
 
akitoka yanga anakuja simba
 
Yanga ni ile ile tu haijabadilika Wala nn hawana wachezaj wenye uwezo binafsi na akili ya ziada subiri waende mikoa kweny viwanja vya chandimu ndo utajua kuwa hakuna wachezaj pale yanga Kuna mabondia tu
 
Yanga ni ile ile tu haijabadilika Wala nn hawana wachezaj wenye uwezo binafsi na akili ya ziada subiri waende mikoa kweny viwanja vya chandimu ndo utajua kuwa hakuna wachezaj pale yanga Kuna mabondia tu
Jitahidi kupinga kwa hoja
 
Yanga hawana timu nzuri,wana wachezaji wazuri kidogo.Wengine hawataelewa naongea nini.Labda huko baadae.
Ni kweli kabisa. Safari hii wamejitahidi sana katika usajili, karibia wachezaji wote waliyosajiliwa wameonesha kuwa ni wachezaji wenye uwezo mzuri tofauti na misimu iliyopita walipofanya usajili wa akina Yikpe.

Kazi imebakia kwa benchi la ufundi tu kuiunganisha timu pamoja na mbinu na ufundi wa kimchezo na kujua nani aanze na nani aingie sub. mtazamo wangu naona Kabisa kuwa laiti kama benchi la ufundi wangechanga karata zao vizuri, basi Yanga wangeongoza tokea kipindi Cha kwanza dhidi ya Prison. Lakini sijui kwanini wameamua kuwaweka Nchimbi na Kaseke kwenye ule mchezo.

Nchimbi nadhani nyota yake tu inambeba lakini uwanjani hamna kitu, sijui waliombakiza waliona nini kwake kiasi kwamba wamtimue Molinga ambae ni top scorer wao na kumuacha Nchimbi.
 
Shauri yako Mkuu GENTAMYCINE utapigwa mawe na Wanamsimbazi wenzako!
 
Yan unajitekenya mwenyewe afu unacheka mwenyewe... eti afunge goli hamsini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unaongea nini? Sasa kwa unavyoona kiwango cha morrison bado ni kilekile alichotokan nacho uto?
 
Hiyo Simba na kikosi tunachokiita bora hatukupata ushindi goli lolote kwa Prison msimu uliopita achana na ushindi...usijisahau ukaongozwa na hisia na kutupilia mbali maarifa.
Usilete stori za msimu uliopita, sasa prison ya msimu ule ndio hii?
 
Mleta mada umepatia. Nawaza tu ikiwa bado hawajawa na strong management, wataweza KUWATUNZA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…