Leo nayatoa ya moyoni

Safi sana mwamba Kwa kufight Kwa ajili ya big Mom,,,R.I.P MOM
 
daaa...ngoma ndo imeisha na majina hayajatajwa!!nimeambulia X na NG tu
 
Afterall i cant blame this poor woman(x wako) coz i real understand birds of feathers fly together.

Wewe, x wako na NG ni majanga na mchuma janga hula yeye na mshiriki wake.

 
Jamani sio kila jambo muwe mnachangia.
Nilivyomuelewa mtoa mada anatoa yake ya moyoni na kuweka mambo sawa.
Ni wapi alikosema anataka ushauri?
Aaaarrrggghhhh mnakera bwana na huo wimbo wenu wa wanaume Dar.
Ukiwa na boyfriend ambaye ni Mwanaume wa Dar uwe mvumilivu!
 
Hawa ni wale wenye pesa sijui za majini au za misukule?? Kutwa kuhonga kwa watu wasioeleweka.




 
Mkuu imeisha hii issue? I mean hii story? Inafunza aisee, givu asi samu mo....
Hii sio simulizi mkuu,
This is true story inayo nihusu kwanye mahusiano na social media
 
Aisee pole jipange upya sio x wala NG......x anaona msaada anaopata wa kusomeshewa watoto 2 unayoyoma inabidi apambane.......binadamu hujifunza kutokana na makosa

You will never miss your water till your well runs dry.

Hapa anaanza kuona umuhimu wa.mshikaji, kusomesha sio mchezo aisee hasa kama watoto wameshazoea international kuwarudisha kayumba ni kazi.
 
Mkuu....
Ebu soma bandiko hadi mwisho then utarajea please
 
Hapana Ahsante na sijatoka kabisa leo...hahah nanhii yupi labda namfukuzia ili uone wivu bado umegoma
Mmh how come parcel haijafika!! mmh figisu figisu hadi ufilipinoni khaaa. We jikute tu unanitia wivu, utakuta nishasepa mbele. Nakuangalia tu afu nakuonea huruma teh[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…