Leo nayatoa ya moyoni

Safi sana. Sasa huyo kila mwanamke anayempata akituma hela anajibiwa hivyo? Kwangu naona ni uongo..

Huyo hajaongea ukweli ila kutokana na hiyo response ilimuuma sana sunahua pesa zenyewe hizi zinapatikana kwa njia tofautitofauti mwingine kupata elfu 30 ni haso ya kufa mtu sasa ukijitoa ukamtumia mtu 15k anaidharau ndio maana jama aka generalize lkn kakosea
 
Mkuu...
Ikiwa wanao wapo kwa gf wako na wanataka kula good time, unatarajia nani atume pesa ya kuwahudumia?
 
jamaa hapana kayaanika hadharani mambo ya faragha tena chumbani usiku kimyakimya
Haya mambo yalisha anikwa kitambo mkuu, sema wewe ndio yalikupita tu.
Humu wapo ambao walisha yapata ingawa ilikua kwa kukandamiza upande mmoja
 
Nope ntafatilia kesho nijue imekuwaje huo mzigo. Me nakuangalia tu unavyocheka kitalebani, unanijua vizuri mnyaki mimi teh
Okay ukinifikia nilikuambia kuna wako sidhani kama utaweza kuupokea mwenyewe ulivyo mkubwa...unajua kule sipo serious nafanya kukupoke tu halafu kumbe unaniangalia[emoji4]
 
Haya mambo yalisha anikwa kitambo mkuu, sema wewe ndio yalikupita tu.
Humu wapo ambao walisha yapata ingawa ilikua kwa kukandamiza upande mmoja
Mkuu umenena kifasihi sijakuelewa ila jema naona wadau wanakushauri vyema
 
Hahaha kile nakingoja kwako kwanza halafu ujue muda unazidi kwendaa Dooh!!
We sasa utaharibu...... Basi mi nasema suuuuu

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] nasubiri utekelezaji tu
 
Mkuu ila na wewe una moyo two kids bado ukabeba mkuu had na watatu anyway pole
 
Okay ukinifikia nilikuambia kuna wako sidhani kama utaweza kuupokea mwenyewe ulivyo mkubwa...unajua kule sipo serious nafanya kukupoke tu halafu kumbe unaniangalia[emoji4]
Mweeee nishaanza ugonjwa wangu wa kusmile alone
 
Mkuu ila na wewe una moyo two kids bado ukabeba mkuu had na watatu anyway pole
Yule wa tatu sikuwahi kuambiwa pale mwanzo, na nilicho kifanya kwa kukubali wale wawili ni kwakua nami nina wawili.
So nilitarajia nice and good couple of 2×2
 
We sasa utaharibu...... Basi mi nasema suuuuu

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] nasubiri utekelezaji tu
Hahaha nipatie ile emoji kanakimbia kwangu kama sikaoni
 
Huhuuuuuuu mambo yamenoga si mchezo.
Mie niko na juice yangu ya ukwaju hapa nafuatilia.
Raaaaaha sana.
Ila JF hii ina mambo?
Mhhhhhhhhh
cc Charity Diva Beyonce DaJane brenda18 Dinazarde
maniner yaaan huu ubuyu unaunguza meno!!!hahaaa yamemfika hapa ushiboi..kweli jf ni zaidi ya uijuavyo!! cuzoo zawadi yako ni dira la kuchezea kigodoro hahaaaa
 
Kama haieleweki kwanini unaisoma aiseeee....[emoji12]
Ebu nipishe na MP zako za msimu hizo...[emoji57]
Alafu.....
Mbona muandiko wako unafanana na yele X...[emoji15]
Au una ID mbili?
ha ha ha haa...sema ninii nimekumiss kule jlw...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…