Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol
Mkuu...
Nipo jf kitambo aiseeee....
Kuna ID ya kwanza niliitosa hapo 2012 baada ya kuiharishia.
Then nika fanya ID mpya
 
Halafu bado anazidi kugawa namba yake humu Jf na anatafuta mume,tunashukuru sana kwa kuweka wazi ameshafahamika huyo mpotezee tu kumbe ndio zake,ameshapitwa na muda huyo.
Naomba unipenyezee haka kaubuyu PM pls.
Asante.
 
Mkuu...
Nipo jf kitambo aiseeee....
Kuna ID ya kwanza niliitosa hapo 2012 baada ya kuiharishia.
Then nika fanya ID mpya
Mkuu...
Nipo jf kitambo aiseeee....
Kuna ID ya kwanza niliitosa hapo 2012 baada ya kuiharishia.
Then nika fanya ID mpya
Kumbe nirudi upya kuunganisha dots, lkn waweza nisaidia kwa kuniambia tu PM. Ila na wewe jitahidi kwenye malezi ya wanao, usiamini tu wadada na kuwakabidhi wanao. Mpe hata mama yako awatunze.
 
Kumbe nirudi upya kuunganisha dots, lkn waweza nisaidia kwa kuniambia tu PM. Ila na wewe jitahidi kwenye malezi ya wanao, usiamini tu wadada na kuwakabidhi wanao. Mpe hata mama yako awatunze.
Sawa mkuu
 
sasa wewe njembaaaa...inakuwaje unachanganya madesa JF....JF haipaswi kuwa sehemu ya maisha yako......kama zilivyo Fake ID humu na maisha ya humu ni fake feki.....

Bro nasikitika kusema umejitakia mwenyewe

Hayo mambo uliyofanya wanafanya ma teenager

Kuna vidume wazoefu humu wanagonga vitu sita vyote vimo JF na havijuani......
[emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...
 
[emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...

hahahhahahahahah.....Brenda hongera sana kama unayajua.....wewe utakuwa jembee sana.....yaani aminia sana brenda18
 
Umeanza kile kitabia chako cha zamani cha ujuaji mwingi kumbe buuuuuure kabisa.
Mimi nipangwe?Na nani?
Kupangwa labda niamue mimi tu.

Wapo wanaume wastaarabu humu,tena wengi tu.

Na nikupe tu taarifa hata my hubby to be atatokea humuhumu JF,upo?
Subiri kadi ya mualiko.
Huhuuuuuuu

Endelea kucheza na hayo mapopoma huko PM.
Halafu usiwaharibie wenzio,sio kila mwanaume aliyeko huku ni nyang'au kama wewe.
asante nifah mi nipo nakolezea tu...humu kuna wanaume hawafai ngoja niishie hapa....
 
[emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...
We burenda hivyo vidole vya kukatwa!
 
aminia wewe unaecheba wanawake sita na hawajuani...shkamoo kubwa..koh koh aah jamani ngoja nipite kimya kimya

hahahahahahah brenda18 nimekwambia wapo watu wanakula vitu hadi 12 na visijuane.....humuhumu JF...wewe unashangaa sita tu......

The point am making...Social media is a jungle...Don't dwell our relationships through social media....

Kuna a lot of issues kwenye social media.......

You should not expose yourself that much kwenye social media...hope unaelewa what I mean
 
asante nifah mi nipo nakolezea tu...humu kuna wanaume hawafai ngoja niishie hapa....
Naachaje kukupenda Brenda jamani?
Tokea long time kitambo hicho you know.....
Koh koh
Nimetamani kweli huo ubuyu wa wanaume wasiofaa,si unanijua tena shoga ako?
Hahahahahaaa
 
hahahahahahah brenda18 nimekwambia wapo watu wanakula vitu hadi 12 na visijuane.....humuhumu JF...wewe unashangaa sita tu......

The point am making...Social media is a jungle...Don't dwell our relationships through social media....

Kuna a lot of issues kwenye social media.......

You should not expose yourself that much kwenye social media...hope unaelewa what I mean
teh teh mimi sishangai sita hakuna nnachoshangaa braza..kwani mi nimefanyaje wajameni mi nilisema tu pia hata usipoexpose ukajidai kuficha bado kuna watu usiotegemea watajua tu...inshort nasema hivi unaweza kuwa na uozo wako ukajikuta msiri kumbe watu wanakuchora...mbaya zaidi ikiwa we bingwa wa kunyoshea watu vidole..jf watu kujikuta wao wasafi sana....haya tupate break sasa...
 
Back
Top Bottom