King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Yaani kaka wewe ni mnyanyapaa. Kwa hiyo mwanamke akiachika mara mbili hafai tena? si ndio anakuja na ujuzi wa ndoa zote mbili kuunda ndoa ya tatu. Ni kama kuajiriwa mkurugenzi ukiwa na 10 yrs experience from 3 different companies. Lol
.."aliachana na mumewe wa pili", teh teh! Ulikutana na kiazi jf, dah...ushimen huna bahati na warembo wa jf..