Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Yaani kaka wewe ni mnyanyapaa. Kwa hiyo mwanamke akiachika mara mbili hafai tena? si ndio anakuja na ujuzi wa ndoa zote mbili kuunda ndoa ya tatu. Ni kama kuajiriwa mkurugenzi ukiwa na 10 yrs experience from 3 different companies. Lol
.."aliachana na mumewe wa pili", teh teh! Ulikutana na kiazi jf, dah...ushimen huna bahati na warembo wa jf..
 
Yaani kaka wewe ni mnyanyapaa. Kwa hiyo mwanamke akiachika mara mbili hafai tena? si ndio anakuja na ujuzi wa ndoa zote mbili kuunda ndoa ya tatu. Ni kama kuajiriwa mkurugenzi ukiwa na 10 yrs experience from 3 different companies. Lol

tena hao mi ndo nawataka

Tangazo Tangazoo Tangazooooo

wewe x wa Ushimen...Mimi nakutakaaaaaa

Napenda sana Experience yako....hasa kutoka kwa wanaume zako watatu...najua utakuwa uko vizuri

x wa ushimen....Please njoo kwangu....mimi sijali hata tukishare na majamaaa

Ushimen pass my message to her
 
Utakuwa unalizwa na kuliwa pesa kila uchwao;
hivi umekosa kabisa wanawake wa kuoa hadi
unakomaa na hao waliokomaa kama lami;
muulize Diamond platinumuz alivyoliwa na hao dada zako;

Mshukuru hata huyo aliyekuachia hao watoto wawili
ungebaki kama yule mtoto wa ana kilango; kutwa
kuhangaika na mademu wa mtandaoni;
 
HAHAHA swahiba. Anzisha uzi utawapata wa kumwaga. Ngoja nikupm jina moja ufuatilie. Shkamoo ujuzi.
tena hao mi ndo nawataka

Tangazo Tangazoo Tangazooooo

wewe x wa Ushimen...Mimi nakutakaaaaaa

Napenda sana Experience yako....hasa kutoka kwa wanaume zako watatu...najua utakuwa uko vizuri

x wa ushimen....Please njoo kwangu....mimi sijali hata tukishare na majamaaa

Ushimen pass my message to her
 
Umeanza wivu. Mwanamke hakomai, anamature kama wine. Lol
Utakuwa unalizwa na kuliwa pesa kila uchwao;
hivi umekosa kabisa wanawake wa kuoa hadi
unakomaa na hao waliokomaa kama lami;
muulize Diamond platinumuz alivyoliwa na hao dada zako;

Mshukuru hata huyo aliyekuachia hao watoto wawili
ungebaki kama yule mtoto wa ana kilango; kutwa
kuhangaika na mademu wa mtandaoni;
 
Nawewe hunaakili wenzio wanalia na single mothers hapa we ndo unajifanya bingwa
 
Umeanza wivu. Mwanamke hakomai, anamature kama wine. Lol
Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol
 
Yeye mwenyewe anatafuta yaya wa kumlelea watoto wake 2 ndio maana hata NG amemtafuta mwenye watoto.
Sasa tumsaidie hivi,mmoja wenu tu akiwa na mtoto hapaeleweki ,vip kuhusu wote kua nao?aache ujing mabinti kibao wansakanya ndoa
 
sasa wewe njembaaaa...inakuwaje unachanganya madesa JF....JF haipaswi kuwa sehemu ya maisha yako......kama zilivyo Fake ID humu na maisha ya humu ni fake feki.....

Bro nasikitika kusema umejitakia mwenyewe

Hayo mambo uliyofanya wanafanya ma teenager

Kuna vidume wazoefu humu wanagonga vitu sita vyote vimo JF na havijuani......
Kwahiyo hapa unamfundisha nini?
Awe player au?

Hebu nyie maplayer tuachieni hawa wanaume wastaarabu wachache waliobakia.
Hao wanaoendelea kuwapanga humu waendelee,na wema wabakie na wema wao.
 
Hahaha sio kwa umbea huo dada. Mie King'asti wa paw, kweli ndoa mbili zote zinishinde? kwanza siamini kwenye kuolewa mara ya pili, itakuwa kujichosha tu.

Well, sio mie. Mie na paw miaka laki nane, na yeye ndio aliniingiza jf na anamanage inbox yangu. Nimemsusia mwili, roho na simu.
Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol
 
Kwahiyo hapa unamfundisha nini?
Awe player au?

Hebu nyie maplayer tuachieni hawa wanaume wastaarabu wachache waliobakia.
Hao wanaoendelea kuwapanga humu waendelee,na wema wabakie na wema wao.

hahahahahhahaha....aseeeee....chaaaaaaaaaaa

Utamfundishaje mtu ana miaka 35 huko na ana mademu wana PhD wakiwa na 30 years....hahahahah

Kwa hio unajidanganya eti kuna wastaarabu kwenye Jungle hii (social media)

wewe mwenyewe umepangwa ...hujui tu...sema jamaa amekupanga kiakili...sio kama huyu zoba hajui kupanga kiakili
 
Back
Top Bottom