King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Sijasoma post zote ila nimeshangaa tu mwanamke unamdate na unamuachia wanao unapiga box. Wazazi wengine sijui wakoje.
Cc Nyani Ngabu
Cc Nyani Ngabu
Yeye mwenyewe anatafuta yaya wa kumlelea watoto wake 2 ndio maana hata NG amemtafuta mwenye watoto.