Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol

wallllaaaaah ni wewe....nimeota ndoto nikaambiwa ni wewe......haha
 
Yaani kaka wewe ni mnyanyapaa. Kwa hiyo mwanamke akiachika mara mbili hafai tena? si ndio anakuja na ujuzi wa ndoa zote mbili kuunda ndoa ya tatu. Ni kama kuajiriwa mkurugenzi ukiwa na 10 yrs experience from 3 different companies. Lol
Dada sina unyanyapaa wowote.[emoji12] [emoji12] Naangalia hiyo experience ya kuzaa na vidume watatu naona kwangu ni uzoefu mkubwa, kampuni yangu inahitaji wasio na uzoefu mkubwa...
 
Mim sijaelewa hapa kuna mtu kaingizwa choo cha kike!
Kinaweza kuwa cha mashoga kabisa haya mambo ya kassim majaliwa(pm)kunakuwa na mambo sana huko khasa kwa wenyeji wa huko ila ukisikia yowe kama hili ujue mtu kapewa ngumi ya pua sio kila yanayo anzia gizani huishia huko huko.Pole mleta uzi ndo Changamoto za maisha hizo.
 
Hivi wasichana wakoje...why ufike hatua ya kumkomoa msichana mwenzako had kumuunganishia picha za X.....Kwel dunia kijiji..just kwa pm tu mtu ana nyaka hadi namba za x's wako wote!!! Mhhh kweli bado niko chini yaa technologia....hivi pale buguruni bado wanafundisha IT??
Haupo peke yako nami pia ni-add kweli kuna watu wanajua IT
 
Sijasoma post zote ila nimeshangaa tu mwanamke unamdate na unamuachia wanao unapiga box. Wazazi wengine sijui wakoje.

Cc Nyani Ngabu
Mleta mada ana issues wala si moja. Girlfriend ukamkabidhi watoto, unawaunganisha watoto na strangers wanatengeneza bond bila kuwa na mahusiano rasmi. Matokeo yake ndio hayo, anabaki kuwa mtumwa wa X kwakuwa anatake care of his kids. Na NG ataaminije kuwa hakuna mahusiano ilhali watoto anawatunza X na wanasoma wote. ilibaki kuwatambulisha kwa other step sisters na brothers wa NG. Imagine watoto wanakuwa ktk mazingira hayo. Huyu ana spirit ya marry and remarry, maana kwake kuanzisha mahusiano mapya na kuahidiana ni rahisi sana kwake.
 
hahahahahhahaha....aseeeee....chaaaaaaaaaaa

Utamfundishaje mtu ana miaka 35 huko na ana mademu wana PhD wakiwa na 30 years....hahahahah

Kwa hio unajidanganya eti kuna wastaarabu kwenye Jungle hii (social media)

wewe mwenyewe umepangwa ...hujui tu...sema jamaa amekupanga kiakili...sio kama huyu zoba hajui kupanga kiakili
Umeanza kile kitabia chako cha zamani cha ujuaji mwingi kumbe buuuuuure kabisa.
Mimi nipangwe?Na nani?
Kupangwa labda niamue mimi tu.

Wapo wanaume wastaarabu humu,tena wengi tu.

Na nikupe tu taarifa hata my hubby to be atatokea humuhumu JF,upo?
Subiri kadi ya mualiko.
Huhuuuuuuu

Endelea kucheza na hayo mapopoma huko PM.
Halafu usiwaharibie wenzio,sio kila mwanaume aliyeko huku ni nyang'au kama wewe.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] da jane homa ya jiji mpaka wa kichwapanziii kafika...jf naingia kwa manati vipi lulu mshamsulubisha au da jane ndio anajipanga?
Lulu ni mafile yanakusanywa shoga,wakati wowote kinalipuka.
Andaa ulimi na mate ya kutosha maana ubuyu ni wa moto hatareeee.
 
Halafu bado anazidi kugawa namba yake humu Jf na anatafuta mume,tunashukuru sana kwa kuweka wazi ameshafahamika huyo mpotezee tu kumbe ndio zake,ameshapitwa na muda huyo.
 
Umeanza kile kitabia chako cha zamani cha ujuaji mwingi kumbe buuuuuure kabisa.
Mimi nipangwe?Na nani?
Kupangwa labda niamue mimi tu.

Wapo wanaume wastaarabu humu,tena wengi tu.

Na nikupe tu taarifa hata my hubby to be atatokea humuhumu JF,upo?
Subiri kadi ya mualiko.
Huhuuuuuuu

Endelea kucheza na hayo mapopoma huko PM.
Halafu usiwaharibie wenzio,sio kila mwanaume aliyeko huku ni nyang'au kama wewe.

hahahhahahha....wewe kwani bikla bana...si wamegonga watu hadi wakakinani.........na hivyo hivyo wataendelea kugonga wengine na wewe utawapa gozi tu

tatizo mademu kama wewe mnajionaga wajuaaaaji kumbe hakuna kitu ...hasa kichwani...yaani unakuta hata pichu hujui kufua...achilia mbali kuvaa

Hhahahaahah...eti ""my hubby""" na unabana pua kabisa....videmu kama wewe vinajulikana ni vinchenchede tu hakuna lolote........ by the way hongera kwa kuolewa.....na mtu wa humu humu JF....tehtehteh (as if ni )
 
hahahhahahha....wewe kwani bikla bana...si wamegonga watu hadi wakakinani.........na hivyo hivyo wataendelea kugonga wengine na wewe utawapa gozi tu

tatizo mademu kama wewe mnajionaga wajuaaaaji kumbe hakuna kitu ...hasa kichwani...yaani unakuta hata pichu hujui kufua...achilia mbali kuvaa

Hhahahaahah...eti ""my hubby""" na unabana pua kabisa....videmu kama wewe vinajulikana ni vinchenchede tu hakuna lolote........ by the way hongera kwa kuolewa.....na mtu wa humu humu JF....tehtehteh (as if ni )

Mkuu not cool, acheni hizo mambo
 
Utakuwa unalizwa na kuliwa pesa kila uchwao;
hivi umekosa kabisa wanawake wa kuoa hadi
unakomaa na hao waliokomaa kama lami;
muulize Diamond platinumuz alivyoliwa na hao dada zako;

Mshukuru hata huyo aliyekuachia hao watoto wawili
ungebaki kama yule mtoto wa ana kilango; kutwa
kuhangaika na mademu wa mtandaoni;
Mkwe....
Kuna muhanga ana angamizwa humu jf for the name of ushimen....
Na hili picha lina muda sana hapa tangu lilipo anza kuonekana kwa wachache aiseeee
 
anyway ila usiache kusomesha watoto kama hali inaruhusu mwache huyo kilaza labda akitamka kuwa hataki ulipie watoto hao maana huwezi jua kwa nn ukutanishwe na hao watoto! Kwa kusomesha watoto wake tena shule sawa na wanao! Basi naweza sema wewe ni mwanaume.
naomba nikunukuu.....'kwa kusomesha watoto wake,tena shule sawa na wanao!basi naweza sema wewe ni mwanaume wa........ huko mwisho malizia wewe
 
Back
Top Bottom