Mkuu...Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol
Naomba unipenyezee haka kaubuyu PM pls.Halafu bado anazidi kugawa namba yake humu Jf na anatafuta mume,tunashukuru sana kwa kuweka wazi ameshafahamika huyo mpotezee tu kumbe ndio zake,ameshapitwa na muda huyo.
Mkuu...
Nipo jf kitambo aiseeee....
Kuna ID ya kwanza niliitosa hapo 2012 baada ya kuiharishia.
Then nika fanya ID mpya
Kumbe nirudi upya kuunganisha dots, lkn waweza nisaidia kwa kuniambia tu PM. Ila na wewe jitahidi kwenye malezi ya wanao, usiamini tu wadada na kuwakabidhi wanao. Mpe hata mama yako awatunze.Mkuu...
Nipo jf kitambo aiseeee....
Kuna ID ya kwanza niliitosa hapo 2012 baada ya kuiharishia.
Then nika fanya ID mpya
[emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...sasa wewe njembaaaa...inakuwaje unachanganya madesa JF....JF haipaswi kuwa sehemu ya maisha yako......kama zilivyo Fake ID humu na maisha ya humu ni fake feki.....
Bro nasikitika kusema umejitakia mwenyewe
Hayo mambo uliyofanya wanafanya ma teenager
Kuna vidume wazoefu humu wanagonga vitu sita vyote vimo JF na havijuani......
uwiii wewe mtu mbaya [emoji40] [emoji40]Halafu sijaona busara za loveissweet humu ndani wala timetoloveyourself
[emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...
uwiii wewe mtu mbaya [emoji40] [emoji40]
asante nifah mi nipo nakolezea tu...humu kuna wanaume hawafai ngoja niishie hapa....Umeanza kile kitabia chako cha zamani cha ujuaji mwingi kumbe buuuuuure kabisa.
Mimi nipangwe?Na nani?
Kupangwa labda niamue mimi tu.
Wapo wanaume wastaarabu humu,tena wengi tu.
Na nikupe tu taarifa hata my hubby to be atatokea humuhumu JF,upo?
Subiri kadi ya mualiko.
Huhuuuuuuu
Endelea kucheza na hayo mapopoma huko PM.
Halafu usiwaharibie wenzio,sio kila mwanaume aliyeko huku ni nyang'au kama wewe.
We burenda hivyo vidole vya kukatwa![emoji3] [emoji3] maisha ya humu fake ila usishangae maisha yako wewe unaefake tunayajua kinaga ubaga...aaah mdomo koma ukomae brenda nyamaza...
valeeee mnikate tu jamani mambo gani haya nafanya....We burenda hivyo vidole vya kukatwa!
umetumbua jipu..either kwa kujua or kutokujua...Why Brenda?
aminia wewe unaecheba wanawake sita na hawajuani...shkamoo kubwa..koh koh aah jamani ngoja nipite kimya kimya
Naachaje kukupenda Brenda jamani?asante nifah mi nipo nakolezea tu...humu kuna wanaume hawafai ngoja niishie hapa....
Wewe nae si upitage kimyakimya jamani?uwiii wewe mtu mbaya [emoji40] [emoji40]
teh teh mimi sishangai sita hakuna nnachoshangaa braza..kwani mi nimefanyaje wajameni mi nilisema tu pia hata usipoexpose ukajidai kuficha bado kuna watu usiotegemea watajua tu...inshort nasema hivi unaweza kuwa na uozo wako ukajikuta msiri kumbe watu wanakuchora...mbaya zaidi ikiwa we bingwa wa kunyoshea watu vidole..jf watu kujikuta wao wasafi sana....haya tupate break sasa...hahahahahahah brenda18 nimekwambia wapo watu wanakula vitu hadi 12 na visijuane.....humuhumu JF...wewe unashangaa sita tu......
The point am making...Social media is a jungle...Don't dwell our relationships through social media....
Kuna a lot of issues kwenye social media.......
You should not expose yourself that much kwenye social media...hope unaelewa what I mean
Duh my bad, I have no idea kwakweli. Lord have mercyumetumbua jipu..either kwa kujua or kutokujua...