Leo nayatoa ya moyoni

Hili huws nalisema kila siku mwanaume kama una akili timamu usijione jabali kwa kuhonga wanawake, ona sasa unavyolialia??

Si mnasema mchape kazi ili mpate pesa za kuwapa wanawake?? Kinachokuliza si mapenzi ni pesa ulizohonga we mbulula


 
Mkuu...
Hawa wanawake siwakuti jf, mimi ndie nikiwapata nawaleta jf[emoji13] [emoji13]
Bora ukimpata mtu wako muongee naye tu skype au Yahoo messanger huku jf ni changanyikeni sana...anything can happen
 
Wanawaake waliozaa ni majipu, ,,
Hujaeleweka vizuri mkuu. Sasa tusipozaa inakuwaje? Tumeumbwa tuzae..na wewe umezaliwa kutoka kwa mwanamke. Sentensi yako ni tata...imeleta maana tofauti kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…