Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Sasa si ushaiweka humu...umejitangazaa mwenyewe,umejilizalizaaa hahahaa. Na bado, stress zako peleka baharini babu weeeee....
Nifah upelelezi wako uanzie hapa, naona kama hataki mjadala uendelee, anataka kuvuruga mechi wakati hata halftime bado.
Kaboom nifah kashaanza kazi, una hadidu rejea zozote umkabidhi?