rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Hapa natabasam tu kwakweli...
Alafu pole kwa yalio kusibu bibi...
Mbona hauku nisemsha ile sinema yako aiseeee...[emoji1]
Aaah mie langu rohoni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa natabasam tu kwakweli...
Alafu pole kwa yalio kusibu bibi...
Mbona hauku nisemsha ile sinema yako aiseeee...[emoji1]
kweli mkuu, hii huku ni bonde la mpungaHuko kuna ubwabwa usiotiwa mafuta ila ni mtamu hakuna mfano.
Aaaaaah saaaaaanaaaa huyo ni ni NIFAH bhaaana ni yeye tu wala sio munginewe.Kuna watu hata asipotajwa atajulikana tu, we kaa karibu na Nifah.
Dar.....wanaume wa ........
Dubai
Freeland
Hii kitu ipo hapa jf kwa muda sasa, pengine waweza kua mmoja kati ya wasio ijua hii sinema.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee... nisije nikajikuta nafunguka hata ID zao...[emoji12]
Mmmmmh! mbona mambo tena
Kuna jukwaa ambalo ukifuatilia yanayo jiri unaweza pata chembe ya yalio nyuma ya pazia, then uanzie hapoNatamani kumjua huyo X na NG sema ndio hivyo[emoji30]
Kama hutajali Ushimen nitajie hata kwa piemu[emoji40]
basi mkuu...kumbe kuna stori nyingi behind the scenes...acha ninyamaze kamanda
Ha ha ha ah huyu ni Mwanaume wa Marekani naona lol.wanaume wa ........
Dubai
Na mm nilimshauri hilowe jamaa wewe toa muvi kabisa
Dah pole sana, halafu ni mwanaume mzuri tu unaejali mpaka watoto wake, kumbe demu tapeli cha ajab hata mumewe haulizi ada zatoka wapi. usikute wamepanga na mumewe wakuchune WANAUME WA DAR SI UNAWAJUA?Yaani.....
Nilijua ana watoto wawili, kumbe alikua ana mwingine ambae alimzaa akamuacha kwa babayake mtoto. Ndipo nilipo kuja kujua baadae kwamba kumbe alikua na mtoto wa manzo tofauti na hawa wawili ambao nilikua nawasomesha na wakwangu wawili.
Kwakifupi sikuwahi kuzaa na X, na nilijua ana watoto wawili kumbe ana watoto watatu, na kumbe bado yupo ndani ya ndoa