Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 294
- 459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe😂😂😂😂wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.Mkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala
Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako
Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
mimi disk ilibidi nitenge moja nimeeka ssd umo ndio nadownload na kuinstall vitu ila nina hdd ya 1tb iyo sigusi uko kuna essentials zangu na zote ziko zipped maana haya mambo hayana ujanja kuna dogo nimpa pc atumie akataka adownload game ilikuaga fifa 19 wajomba wakaja toka iyo siku nimepataga somo..Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe

hiyo ku rename lilikuwa wazo la kwanza kabisa lakini waapiUkihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.
Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
unakuta mtu una CORE 2 DUO ram 2 gb hdd 320[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Kivip broUbaya windows 10 sio reliable kwa mazingira yetu.
Hii imenikuta juzi kipindi na download series kwenye torrent nimepata hasara sanaMkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala
Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako
Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
Sisi wazee wa vitonga wapenda cracked software misala kama hii ni rahisi kugongana nayo.Hii imenikuta juzi kipindi na download series kwenye torrent nimepata hasara sana
Nimeamua nianze upya tu kaka maana naona miyeyusho tu aisee ila pirate bays na Utorrent sio sehemu salama sana na Windows security walivyo wahuni ukigusa Utorrent wanapiga Pini na wanakupa onyo pamoja na ukiingia pirate bays wnanasa hadi ip yako na wanakupa onyo kama una link ya Mozilla na Utorrent ambayo haipigwi Pini maana q BitTorrent yangu imeliwa nayoSisi wazee wa vitonga wapenda cracked software misala kama hii ni rahisi kugongana nayo.
Ransomware kwangu ndio kirusi mbishi ambaye mpaka sasa sijaweza kumpatia ufumbuzi.
Hiki kirusi kwangu kiliingia kama setup fulani hivi, na kwakua setup zetu za mchongo zinalazimisha uzime antivirus au windows defender.
Nikajikuta nimezima na nimei run hiyo setup....
Mara nikaona cmd ime pop up ikawa inaji generate code randomly fasta fasta. Ghafla nikaona kwenye notification panel kuna ujumbe kuwa windows inaji updates.
Baada ya hapo kila file langu ambalo lilikuwemo ndani ya Pc likawa encrypted kwa extension ya QSCX na mwishoni kulikuwa na hiyo readme note ambayo ilikuwa na maelekezo haya.
Readme note iliniambia kuwa tayari nimesha dukuliwa na hakuna namna naweza kutegua hicho kirusi ili niweze ku retrieve files zangu.
Wakaniambia kwa hiyo nachotakiwa kufanya ni kulipa dollar 980 ili wanipe hiyo description key niweze kupata access ya files zangu.
Halafu wakasema ikiwa nitafanya malipo ndani ya masaa 72 kutakuwa na punguzo la asilimia 50.
Then chini wakaambatanisha emails zao na kuweka ID ya machine yangu ili kama nitawasiliana nao basi kupitia ile id ya machine yangu ndio wanaweza ku generate key ya ku unlock files zangu.
Niliangaika sana katika kutafuta tafuta nikakuta na application moja inaitwa Stop Dejavu. Hii software iliweza kurudisha files za audio tu. Nazo zilikuwa corrupted kiasi fulani yani sekunde kadhaa za mwanzoni mwa hizo audio zilikuwa skipped.
Kwa mujibu wa Emsisoft wamiliki wa hiyo Dejavu wanadai software yao inauwezo wa ku descript ransomware wa offline.
Jaribu hapa kama unaweza kubahatika kutatua tatizo lako Dejavu
Mi windows defender yangu inapasua bila shida kwenye piratebays.Nimeamua nianze upya tu kaka maana naona miyeyusho tu aisee ila pirate bays na Utorrent sio sehemu salama sana na Windows security walivyo wahuni ukigusa Utorrent wanapiga Pini na wanakupa onyo pamoja na ukiingia pirate bays wnanasa hadi ip yako na wanakupa onyo kama una link ya Mozilla na Utorrent ambayo haipigwi Pini maana q BitTorrent yangu imeliwa nayo
Hadi Mimi kwangu nikigusa crack inafuta mpaka nizime ndio unapiga kazi ila nimeyatimba aiseeMi windows defender yangu inapasua bila shida kwenye piratebays.
Hata juzi hapo nilikuwa natumia Kaspersky trial ilikuwa hainigomei kwenye pirate ila ilitokea nimepakua apps ambayo ni crack ilikuwa inazifuta punde tu baada ya ku seed.
Mkuu ukiwa unapenda kudownload vitu cracked na kushinda sana pirates bays kupata virus ni rahisi na Windows security anapiga sana Pini uttorentHivi kuna watu bado wanasumbuliwa na virus kwa pc zao..
Mi najua haya madude tunasoma tuu ila hayapo kwa sasa....
Mi nipo na pc kwa mda wa miaka mitatu sasa na nina ant virus zile zile za get onto pc na sijawahi sumbuliwa na hiki kitu..
Nachojua mimi napokutana na kesi yoyote ya pc au computer kuwa nzito huwa na restart tuu...
Na nilichogundua hawa virus wanakua wasumbufu kama tuu ukiwa mtu wa internet aiseeee .
Ujue mi huwa mjanja mjanja hizo window defender huwa nazichezea sana..Mkuu ukiwa unapenda kudownload vitu cracked na kushinda sana pirates bays kupata virus ni rahisi na Windows security anapiga sana Pini uttorent
Aisee Mimi virus wamekula file zangu zote kuanzia movie hadi seriesUjue mi huwa mjanja mjanja hizo window defender huwa nazichezea sana..
Na kutokna na ishu kama hizo pc nayofanyia kazi huwa siunganishi na internet hata kidogo kuepusha ishu kama hizo...
Pc nayotumia kwa kazi normal ndo huwa naunga kwa internet
Hujakutana na misala weweHivi kuna watu bado wanasumbuliwa na virus kwa pc zao..
Mi najua haya madude tunasoma tuu ila hayapo kwa sasa....
Mi nipo na pc kwa mda wa miaka mitatu sasa na nina ant virus zile zile za get onto pc na sijawahi sumbuliwa na hiki kitu..
Nachojua mimi napokutana na kesi yoyote ya pc au computer kuwa nzito huwa na restart tuu...
Na nilichogundua hawa virus wanakua wasumbufu kama tuu ukiwa mtu wa internet aiseeee .
Hizo website zenu za moviess unakuta ni zile uchwara ahahahAisee Mimi virus wamekula file zangu zote kuanzia movie hadi series
Kaka hela za kulipia Netflix Kila mwezi hatuna Bora tupate pirates bays na kwenye app za free 😃😃Hizo website zenu za moviess unakuta ni zile uchwara ahahah