Leo nazungumzia virus aina ya Shortcuts

Leo nazungumzia virus aina ya Shortcuts

Mfano mtu mwenye matumizi ya data za kuunga unga windows 10 haimfai.
connect na wifi then eka metered connection apo utakua unatumia mamboyako fresh bila kuliwa bundle na updates. Screenshot 2022-03-16 135920.png
 
😂😂😂😂wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
Wana utani hawa vibopa halafu wangejua wamemu attack mtu mwenye uchumi gani nadhani wangezi descript wenyewe
 
Mkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala

Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako

Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.

Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
 
mimi disk ilibidi nitenge moja nimeeka ssd umo ndio nadownload na kuinstall vitu ila nina hdd ya 1tb iyo sigusi uko kuna essentials zangu na zote ziko zipped maana haya mambo hayana ujanja kuna dogo nimpa pc atumie akataka adownload game ilikuaga fifa 19 wajomba wakaja toka iyo siku nimepataga somo..Screenshot 2022-03-16 144045.png
 
Ukihangaika unaweza kupata decryption keys, maana wengi washalizwa na pengine kuna ambao wameishaicrack hio encryption. Ila sio 100% unaweza fanikiwa.

Na wengine hawa decrypt wana rename tu hayo mafile kabla ya kuhangaika jaribu kubadili extension ya file kwanza.
hiyo ku rename lilikuwa wazo la kwanza kabisa lakini waapi

Huyu virus ni hatari katika record za kukumbwa na virus nilikuwa victim kwenye files zangu za kawaida lakini zile nilizozipiga RAR zilikuwa salama

Lakini kwa huyu ransomware imezipitia zote na hata nilipojaribu kufuta hiyo extansion na kuzi rename bado ilikuwa ngumu ku access
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanataka ela kubwa kuliko gharama ya pc mtu anayotumia asee
unakuta mtu una CORE 2 DUO ram 2 gb hdd 320

halafu wanakutajia Mpunga wa kuweza kupata GAMING PC ya maaana na chenji inarudi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kudadeki
 
Mkuu kuna wale virus wa ransomware wanaokuja na extension ya QSCX hawa walibutua ma files yangu yote nilichoweza ku retreive ni audio tu, the rest ni msala

Hawa virus wanatumiwa na hackers ambapo wakishakupiga wanakuachia readme note wanayo demand pesa ili waweze kukupa description key ya ku access files zako

Kuna namna yeyote ya ku fix aina hii ya virus?
Hii imenikuta juzi kipindi na download series kwenye torrent nimepata hasara sana
 
Sisi wazee wa vitonga wapenda cracked software misala kama hii ni rahisi kugongana nayo.

Ransomware kwangu ndio kirusi mbishi ambaye mpaka sasa sijaweza kumpatia ufumbuzi.

Hiki kirusi kwangu kiliingia kama setup fulani hivi, na kwakua setup zetu za mchongo zinalazimisha uzime antivirus au windows defender.

Nikajikuta nimezima na nimei run hiyo setup....

Mara nikaona cmd ime pop up ikawa inaji generate code randomly fasta fasta. Ghafla nikaona kwenye notification panel kuna ujumbe kuwa windows inaji updates.

Baada ya hapo kila file langu ambalo lilikuwemo ndani ya Pc likawa encrypted kwa extension ya QSCX na mwishoni kulikuwa na hiyo readme note ambayo ilikuwa na maelekezo haya.

Readme note iliniambia kuwa tayari nimesha dukuliwa na hakuna namna naweza kutegua hicho kirusi ili niweze ku retrieve files zangu.

Wakaniambia kwa hiyo nachotakiwa kufanya ni kulipa dollar 980 ili wanipe hiyo description key niweze kupata access ya files zangu.

Halafu wakasema ikiwa nitafanya malipo ndani ya masaa 72 kutakuwa na punguzo la asilimia 50.

Then chini wakaambatanisha emails zao na kuweka ID ya machine yangu ili kama nitawasiliana nao basi kupitia ile id ya machine yangu ndio wanaweza ku generate key ya ku unlock files zangu.

Niliangaika sana katika kutafuta tafuta nikakuta na application moja inaitwa Stop Dejavu. Hii software iliweza kurudisha files za audio tu. Nazo zilikuwa corrupted kiasi fulani yani sekunde kadhaa za mwanzoni mwa hizo audio zilikuwa skipped.

Kwa mujibu wa Emsisoft wamiliki wa hiyo Dejavu wanadai software yao inauwezo wa ku descript ransomware wa offline.

Jaribu hapa kama unaweza kubahatika kutatua tatizo lako Dejavu
 
Nimeamua nianze upya tu kaka maana naona miyeyusho tu aisee ila pirate bays na Utorrent sio sehemu salama sana na Windows security walivyo wahuni ukigusa Utorrent wanapiga Pini na wanakupa onyo pamoja na ukiingia pirate bays wnanasa hadi ip yako na wanakupa onyo kama una link ya Mozilla na Utorrent ambayo haipigwi Pini maana q BitTorrent yangu imeliwa nayo
 
Mi windows defender yangu inapasua bila shida kwenye piratebays.

Hata juzi hapo nilikuwa natumia Kaspersky trial ilikuwa hainigomei kwenye pirate ila ilitokea nimepakua apps ambayo ni crack ilikuwa inazifuta punde tu baada ya ku seed.
 
Hadi Mimi kwangu nikigusa crack inafuta mpaka nizime ndio unapiga kazi ila nimeyatimba aisee
 
Hivi kuna watu bado wanasumbuliwa na virus kwa pc zao..
Mi najua haya madude tunasoma tuu ila hayapo kwa sasa....

Mi nipo na pc kwa mda wa miaka mitatu sasa na nina ant virus zile zile za get onto pc na sijawahi sumbuliwa na hiki kitu..

Nachojua mimi napokutana na kesi yoyote ya pc au computer kuwa nzito huwa na restart tuu...

Na nilichogundua hawa virus wanakua wasumbufu kama tuu ukiwa mtu wa internet aiseeee .
 
Mkuu ukiwa unapenda kudownload vitu cracked na kushinda sana pirates bays kupata virus ni rahisi na Windows security anapiga sana Pini uttorent
 
Ujue mi huwa mjanja mjanja hizo window defender huwa nazichezea sana..

Na kutokna na ishu kama hizo pc nayofanyia kazi huwa siunganishi na internet hata kidogo kuepusha ishu kama hizo...

Pc nayotumia kwa kazi normal ndo huwa naunga kwa internet
 
Aisee Mimi virus wamekula file zangu zote kuanzia movie hadi series
 
Hivi kuna watu bado wanasumbuliwa na virus kwa pc zao..
Mi najua haya madude tunasoma tuu ila hayapo kwa sasa....

Mi nipo na pc kwa mda wa miaka mitatu sasa na nina ant virus zile zile za get onto pc na sijawahi sumbuliwa na hiki kitu..

Nachojua mimi napokutana na kesi yoyote ya pc au computer kuwa nzito huwa na restart tuu...

Na nilichogundua hawa virus wanakua wasumbufu kama tuu ukiwa mtu wa internet aiseeee .
Hujakutana na misala wewe

Getintopc ni most trusted website kwa ajili ya premium software na huwezi kukutana na kadhia ya software zenye virus kuweza ku harm pc yako.

Lakini nayo changamoto yake software nyingi huwezi kuzipata. Na sometimes hata ukizipata utakuta sio latest.

Hapo ndio unaona umuhimu wa kuzama chimbo kuzisaka. Na huko ndio utakutana na ma developer wenye roho mbaya.
 
Back
Top Bottom