Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

Kuepuka kupoteza muda kwenye typing watu walishaandaa uzi tangu juzi wakijua kutakuwa kuna foleni ya kugombania kuwa mtu wa kwanza kupost

Wana wametegesha saa wanaskilizia ifike saa 6 tu wauachie. Na kwa dalili zinavyoonesha wapo watao anza kupost kabla hata ya saa 6.

Wanataka kuonesha kuwa wao ni watu wa sports actually ni jambo zuri ila kuna ki double standard, leo kulikuwa na mechi ya Tabora na JKT na hakuna aliyejisumbua.
 
Back
Top Bottom