Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

Hivi kunakuwa na malipo yoyote?
Wewe unavyoleta nyuzi za mpaka Khanga mpya au Mavazi ya Chadema au kila kukicha hiki au kile cha Chadema kimeshangaza nchi nzima mpaka unabubujikwa na machozi unalipwa ?!!!

Nadhani to each his / their own na ni wadau kama hawa ndio wanaifanya hili litovuti liwe Jukwaa. Ni rasilimali kubwa sana...
 
Kuepuka kupoteza muda kwenye typing watu walishaandaa uzi tangu juzi wakijua kutakuwa kuna foleni ya kugombania kuwa mtu wa kwanza kupost

Wana wametegesha saa wanaskilizia ifike saa 6 tu wauachie. Na kwa dalili zinavyoonesha wapo watao anza kupost kabla hata ya saa 6.

Wanataka kuonesha kuwa wao ni watu wa sports actually ni jambo zuri ila kuna ki double standard, leo kulikuwa na mechi ya Tabora na JKT na hakuna aliyejisumbua.
Mods wame futa nyuzi 3 Sasa hivi🤣😂
 
Ona huku vituko 8.8.2025 [emoji1787][emoji1787]
IMG_20250308_021439.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-08-02-10-59-769_com.quoord.tapatalkpro.activity.jpg
    Screenshot_2025-03-08-02-10-59-769_com.quoord.tapatalkpro.activity.jpg
    43.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom