Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Nunua gari lako hizo adhaa utazipata tenaNimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Mda huo ulokaa ungetangulia kwa miguu ungeshafika ...Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Unazuiwa kutoka nje ya kituo na kupanda usafiri mwingine?Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Ingekuwa bora kujenga reli kwenye hizo barabara zao za mwendo kasi treni zinapishana tu kila upande.Tutawaletea semitral