dickson longo
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 232
- 52
Tufungwe na leo,basi tena itabidi tutafute jina lingine.ili la Taifa litakuwa na gundu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi wakuu mechi imeanza ?
Half time 0-0 kocha inabidi afanye mabadiliko amtoe Ngassa aingie John Boko kwa kweli hii timu ikitufunga mie siji tena taifa kucheki mechi yoyote maana ni wabovu sana. Henry Joseph ambaye ni Captain pamoja na Nizar wameonyesha kweli wao ni mapro wamemiliki vizuri sehemu ya kiungo, wachezaji tunao ila nina wasiwasi na uwezo wa kocha, ngoja tuone ngwe ya lala salama
Kenya tayari wapo mbele kwa bao mbili! Sisi hawa jamaa tunawachelewesha nini!