Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mimi ni Simba damu tena lia lia, mtu yeyote anayejua soka kama mimi bila ushabiki wala unazi, Mayele ni Mtu Kazi,.jamaa movements zake ni za hatari sana, ni mshambualiaji hatari sana, sio wa kawaida kwa level zetu za kibongo, Leo amefunga tena hatrick kwa timu mbovu ambayo sijapata kuiona tangu niujue mpira, alikuwa akifanya atakavyo mzee wa kutetema.
Hata hivyo, namhakikishia Mayele Leo ndio mechi yake ya mwisho kufunga hattrick kwenye michuano hiyo, hutakuja kukutana na vibonde tena kama Zalan, hatua mliyoingia sasa hivi kwa mpira ule hadi mbustiwe half time, nawaaga michuano ya Caf kwenu bye bye, mechi inayofuata mnaanza hapa kwa Mkapa na mnakwenda kuchinjiwa huko Ethiopia au Sudan kwa Ibenge.
Shukuruni Mungu mkitolewa raundi ya 2 mtaenda kwenye michuano ya Confederation kupambana tena. MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki.