Leo ndio mwanzo na mwisho kwa Mayele kufunga hatrick michuano ya CAF

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mimi ni Simba damu tena lia lia, mtu yeyote anayejua soka kama mimi bila ushabiki wala unazi, Mayele ni Mtu Kazi,.jamaa movements zake ni za hatari sana, ni mshambualiaji hatari sana, sio wa kawaida kwa level zetu za kibongo, Leo amefunga tena hatrick kwa timu mbovu ambayo sijapata kuiona tangu niujue mpira, alikuwa akifanya atakavyo mzee wa kutetema.

Hata hivyo, namhakikishia Mayele Leo ndio mechi yake ya mwisho kufunga hattrick kwenye michuano hiyo, hutakuja kukutana na vibonde tena kama Zalan, hatua mliyoingia sasa hivi kwa mpira ule hadi mbustiwe half time, nawaaga michuano ya Caf kwenu bye bye, mechi inayofuata mnaanza hapa kwa Mkapa na mnakwenda kuchinjiwa huko Ethiopia au Sudan kwa Ibenge.

Shukuruni Mungu mkitolewa raundi ya 2 mtaenda kwenye michuano ya Confederation kupambana tena. MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki.
 
Hongera kwa kuanza kutetema hadharani najua unawakilisha Makolo wenzako sema tu mlikuwa wanatetema maliwatoni kwa kificho.

Niwakumbushe tu Mayele ni hatari sana hata sisi Yanga tunamuogopa
 
Bakisha akiba ya maneno, Kwa aina ya goli la pili alilofunga Leo Mayele linaonyesha kwenye michuano hii kunasiku atafunga goli zaidi ya tatu. Lile goli Lina maanisha vitu vingi sana katika ulimwengu wa soka.
 
Mwambie huyo hao timu zingine zinacheza kwa kutumia umeme??
 
"MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki"

Nimekunukuu hapo
 
Bakisha akiba ya maneno, Kwa aina ya goli la pili alilofunga Leo Mayele linaonyesha kwenye michuano hii kunasiku atafunga goli zaidi ya tatu. Lile goli Lina maanisha vitu vingi sana katika ulimwengu wa soka.

Hiyo ruhusa hawez kuipata kwa team zinazojua kuziba nafasi
 
Yanga na michuano ya kimataifa wapi na wap, kila kitu kinawakataa mpaka rekodi zinakataa kuwabeba, mmekutana na timu mbovu mpaka haielezeki,
Haya bc tusubiri kuona mayele afunge tena hat trick c mnasem atafunga?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Unataman kusema zalan ni wabovu.. lakn simba nae kanyukwa 2 na mayele.. kwan na simba nae ni mbovu?
Ukiifunga simba sio kipimo kwamba ww ndio bora, simba nayo ni dhahifu bado wanaendelea kujitafuta, all in all tutakiane safari njema ili nanyie muonje ladha ya kucheza na mitimu mikubwa mikubwa like mazembe, mamelodi sio kila mwaka kwenda kuwapokea airp port
 
Back
Top Bottom