Leo ndio mwanzo na mwisho kwa Mayele kufunga hatrick michuano ya CAF

Hongera kwa kuanza kutetema hadharani najua unawakilisha Makolo wenzako sema tu walikuwa wanatetema maliwatoni.

Niwakumbushe tu Mayele ni hatari hata sisi Yanga tunamuogopa
Mimi ni Yanga lia lia namuogopa sana Mayele tangu asifiwe Inonga Varane kuwa ndio kiboko ya Mayele nae Mayele akawapasua Simba goli mbili safi huku Inonga Varane akiwa uchochoro!!

Mayele anafunga timu yoyote iwe mbovu iwe nzuri, iwe ya ndondo iwe club bingwa ya dunia ye anapiga tu na kufumua mishono yote!!Simba na uzuri wao wanaojisifu Mayele aliwafanya asusa!!

Mayele anafunga magoli aina zote na hakabiki.

Goli la tatu leo la Mayele ni la kiwango cha dunia hata Brazil au Man City wangefungwa tu na Mayele! Mayele ndo kiboko ya Simba kwasasa hawamuwezi!!
 
Ebwana hii Zalan ni mbovu tuache utani. Kuna timu za mtaani hapa Dar zinaweza kupiga mpira kuzidi hawa jamaa.
 
Hadi kaanzishiwa thread special kwa ajili yake!!? Dah, Mayele now level za juu sana.
 
goli 3 tena? hata moja ni itakuwa ngumu kwake
 
You need to seek toilet paper before you sit on the stool.
 
Bomu Limeelekezwa 'Mochwari'....!

Ajabu Watu wanalia machozi Ya Furaha Kwa kuifunga 'Eti' timu Inaitwa ZALANI...Mechi zote upo kwenu...!
there is so many ways of killing bed bugs{kunguni} provided they are dead.
 
Yanga wanachoitaji ni ushindi tu msianze kuamisha mada kutafuta kichaka cha kujifichia, mnaanza kuanzisha mada zisizokuwa na kichwa wala miguu ili asipofunga hat trick ndo iwe kichaka chenu cha kupatia pa kupumulia, Yanga inacheza kama timu na sio mayele ndo anacheza peke yake uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…