Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kama Makolo wanavyojua kumziba Mayele au?Hiyo ruhusa hawez kuipata kwa team zinazojua kuziba nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Makolo wanavyojua kumziba Mayele au?Hiyo ruhusa hawez kuipata kwa team zinazojua kuziba nafasi
Hapa ndipo napata shida kutambua uelewa wenu ukoje! Kwan Yanga aliomba kupangiwa Zalan?Bomu Limeelekezwa 'Mochwari'....!
Ajabu Watu wanalia machozi Ya Furaha Kwa kuifunga 'Eti' timu Inaitwa ZALANI...Mechi zote upo kwenu...!
Kumbukumbu zitunzwe"MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki"
Nimekunukuu hapo
Mimi ni Yanga lia lia namuogopa sana Mayele tangu asifiwe Inonga Varane kuwa ndio kiboko ya Mayele nae Mayele akawapasua Simba goli mbili safi huku Inonga Varane akiwa uchochoro!!Hongera kwa kuanza kutetema hadharani najua unawakilisha Makolo wenzako sema tu walikuwa wanatetema maliwatoni.
Niwakumbushe tu Mayele ni hatari hata sisi Yanga tunamuogopa
goli 3 tena? hata moja ni itakuwa ngumu kwakeMimi ni Simba damu tena lia lia, mtu yeyote anayejua soka kama mimi bila ushabiki wala unazi, Mayele ni Mtu Kazi,.jamaa movements zake ni za hatari sana, ni mshambualiaji hatari sana, sio wa kawaida kwa level zetu za kibongo, Leo amefunga tena hatrick kwa timu mbovu ambayo sijapata kuiona tangu niujue mpira, alikuwa akifanya atakavyo mzee wa kutetema.
Hata hivyo, namhakikishia Mayele Leo ndio mechi yake ya mwisho kufunga hattrick kwenye michuano hiyo, hutakuja kukutana na vibonde tena kama Zalan, hatua mliyoingia sasa hivi kwa mpira ule hadi mbustiwe half time, nawaaga michuano ya Caf kwenu bye bye, mechi inayofuata mnaanza hapa kwa Mkapa na mnakwenda kuchinjiwa huko Ethiopia au Sudan kwa Ibenge.
Shukuruni Mungu mkitolewa raundi ya 2 mtaenda kwenye michuano ya Confederation kupambana tena. MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki.
You need to seek toilet paper before you sit on the stool.Mimi ni Simba damu tena lia lia, mtu yeyote anayejua soka kama mimi bila ushabiki wala unazi, Mayele ni Mtu Kazi,.jamaa movements zake ni za hatari sana, ni mshambualiaji hatari sana, sio wa kawaida kwa level zetu za kibongo, Leo amefunga tena hatrick kwa timu mbovu ambayo sijapata kuiona tangu niujue mpira, alikuwa akifanya atakavyo mzee wa kutetema.
Hata hivyo, namhakikishia Mayele Leo ndio mechi yake ya mwisho kufunga hattrick kwenye michuano hiyo, hutakuja kukutana na vibonde tena kama Zalan, hatua mliyoingia sasa hivi kwa mpira ule hadi mbustiwe half time, nawaaga michuano ya Caf kwenu bye bye, mechi inayofuata mnaanza hapa kwa Mkapa na mnakwenda kuchinjiwa huko Ethiopia au Sudan kwa Ibenge.
Shukuruni Mungu mkitolewa raundi ya 2 mtaenda kwenye michuano ya Confederation kupambana tena. MAYELE akifunga tena hattrick nitakwenda kufanya usafi uwanja aa kaunda nikiwa uchi wa mnyama.Kudadadeki.
there is so many ways of killing bed bugs{kunguni} provided they are dead.Bomu Limeelekezwa 'Mochwari'....!
Ajabu Watu wanalia machozi Ya Furaha Kwa kuifunga 'Eti' timu Inaitwa ZALANI...Mechi zote upo kwenu...!
Yanga wanachoitaji ni ushindi tu msianze kuamisha mada kutafuta kichaka cha kujifichia, mnaanza kuanzisha mada zisizokuwa na kichwa wala miguu ili asipofunga hat trick ndo iwe kichaka chenu cha kupatia pa kupumulia, Yanga inacheza kama timu na sio mayele ndo anacheza peke yake uwanjaniYanga na michuano ya kimataifa wapi na wap, kila kitu kinawakataa mpaka rekodi zinakataa kuwabeba, mmekutana na timu mbovu mpaka haielezeki,
Haya bc tusubiri kuona mayele afunge tena hat trick c mnasem atafunga?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Timu gani tuitunge ambayo ni ngumu ambayo na ww ulishaifunga?Dah...Eti ZALANI