Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Siku moja niko bar ,vikombe vingi sana.Naingia toi nakuta jamaa mmoja analia na mimi wacha niporomoshe kilio.Tukaanza kufarijiana yataisha tu,yote maisha .Tukafuta machozi vikombe vikaendelea.Mimi mpaka leo sijui alikuwa analilia nini na mimi sijui kilichokuwa kinaniliza ni nini?
Oiiii.
Aisee nimecheka sana hivi bado upo mkuu 🙌🤣
 
Ndio umesha achwa tayari,ukilia au hata ukicheka haiwezi kubadili kitu,

Bila shaka hata huu uzi umeuandika huku unalia.
 
Ukweli mimi huwa ni ngumu sana yaani kuna wakati nilipatwa na msiba ule mv nyerere bwana mdogo alienda pamoja na mke wake japo niliumia mno yaani moyoni nahisi kabisa nalia lknb machozi hayatoki hata kidogo
nikaona isiwe tabu nikavunga tu

chaajabu kesho yake hata sauti haitoki hata kidogo watu wakawa wanasema uliupaswa ulie kwa sauti.
 
Back
Top Bottom