Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nasubiri ukifa.Ntalia huku namkonyeza mkeo.Ukweli mimi huwa ni ngumu sana yaani kuna wakati nilipatwa na msiba ule mv nyerere bwana mdogo alienda pamoja na mke wake japo niliumia mno yaani moyoni nahisi kabisa nalia lknb machozi hayatoki hata kidogo
nikaona isiwe tabu nikavunga tu
chaajabu kesho yake hata sauti haitoki hata kidogo watu wakawa wanasema uliupaswa ulie kwa sauti.
